Mh kwa record zangu MMF za kenya mwaka huu na mwaka
Jana zilifika 18% tena kama Sikosei waliofika 18% ni cyton na lofty ila Wengine wako btwn 13% hadi 16% Sijawah sikia MMF or MF za kenya zinafika 20% .
Kenys wana MF nyingi sana na zimeanza zaman sana 20yrs ago na sasa hivi wameingia kwa fyjo kwenye ETF's
By the way niko kwenye moja ya ETF yao..
Mkuu Fredwash , kwahiyo kuwekeza huko mf/mmf Kenya kuna faida zaidi kuliko hizi mf za Tz?
Wanaruhusu foreign investors? na kama wanaruhusu, risk ni ipi kwa mtu kuwekeza kwenye mutual funds za nchi nyingine ambayo siyo raia wa nchi hiyo?
Latest MMF Rates in Kenya, December, 2024 (Daily Yields) — Moneyspace
Stay informed with the latest Money Market Fund rates in Kenya for May 16th, 2024, provided by Moneyspace (Money.ke). Make educated financial decisions with our accurate data.money.ke
Kiongozi faida ni kama hizi za UTT tu sababu MF nyingi duniani mifumo yanuendeshaji inafanana kama vile mifumo ya kibank worldwide inafanana.. ingawa kwa kenya soko lao pana zaidi.. kwa maana ya kuwa wanakampuni kubwa nyingi zaidi..Mkuu Fredwash , kwahiyo kuwekeza huko mf/mmf Kenya kuna faida zaidi kuliko hizi mf za Tz?
Wanaruhusu foreign investors? na kama wanaruhusu, risk ni ipi kwa mtu kuwekeza kwenye mutual funds za nchi nyingine ambayo siyo raia wa nchi hiyo?
Kiongozi faida ni kama hizi za UTT tu sababu MF nyingi duniani mifumo yanuendeshaji inafanana kama vile mifumo ya kibank worldwide inafanana.. ingawa kwa kenya soko lao pana zaidi.. kwa maana ya kuwa wanakampuni kubwa nyingi zaidi..
na kuhusu risk kama unazungumzia risk za ww kama foreigner kuwekeza kule hapana risk ya kuogopa sababu unajisajili kwenye mfumo rasmi na foreign investor wanaruhusia kama ilivyo hapa UTT
Anyway kikubwa kwa Kenya wana uwanja mpana wa hii mifuko.. na ipo ambayo ina miaka mingi sokoni na ipo ambayo ya miaka ya karibuni kuna inayotoa dividends na kuna ambayo haitoi unakuwa unakuza mtaji kikubwa kwanza weka malengo kisha tafuta mfuko unaofaa malengo yako
Ngoja nikupe mfano mdogo kupitia mie sababu nina UTT kwa nje nilitaka uwekezaji wa kitofauti nilitaka niwekeza kwanza kwanza kwanza kwa fedha ya kigeni ila nikitumia Tsh lakini pia nilitaka njia ya kuwekeza kwenye masoko ya hisa ya duniani (mainly china and US) mfano kwenye masoko ya kampuni za teknolojia (microsoft,apple) , afya(pizfier), madini (gold) na mengineyo.. sasa kawaida unatakiwa uwe na pesa ndefu kuwekeza direct kwenye masoko hayo au kama unaishi marekani unaweza kuwekeza kwenye ETF zao ila nje ya marekani as individual ni ngumu
Sasa kwa kenya walianzisha Funds ambayo inatoa uwekezaji wa ETF kitu ambacho nilikuwa nakitaka ili ku diversify my portfolio ndio maana nikawekeza huko kwenye mfuko wao wanauita NDOVU
Nilichokifanya ili transactions ziwe rahsi nilifungua account ya KCB TZ sababu ni bank ya kenya na mfuko niliowekeza custodian ni KCB ili kupunguza ukiritimba wa kati ya taasisina taasisi so na deposit kwenye account nalipia kupitia account yangu ila kwenye uwekezaji wangu inasoma pesa ya kenya na mfuko mwingine US dollar
Mm nimejaribu kuchek return n almost 15% ambapo pia Kodi za serikali n almost 2% ko faida n kama hiz za huku tzShukrani sana mkuu kwa muda wako. Information is power.
Hiyo ya kuwekeza nje ya nchi naona ni big deal coz unakuwa na faida mbili:
1. Interest rate kubwa kuliko hapa Tz. Mfano kwa Kenya, Lofty na Etica wanatoa interest rate hadi 18.30% na 18.13% respectively. Unlike to Tz ambapo mifuko yote hakuna inayotoa interest rate zaidi ya 13% if am getting it right;
2. Foreign currency ni more stable kuliko TSH. Mfano tu KES or USD against TSH... KES na USD zinazidi kupaa kila uchwao. So ukiwekeza kwenye mifuko ya nje kwa hizo mentioned currencies (let say for 10 years), kama wewe ulivyofanya, unakuwa on safe side kifaida kwa muktadha wa 'currency exchange' tu pekee na inflation concern.
Mkuu, am I getting it right?
Mm nimejaribu kuchek return n almost 15% ambapo pia Kodi za serikali n almost 2% ko faida n kama hiz za huku tz
Yeah uko sawa lakin pia nmeona rate ya uwekezaji kwa uss n almost 7to 10%Thanks. Kama ni hivyo basi rate zinaendana tu na hapa Tz. Labda isipokuwa ile concern ya benefit on exchange rate basis (KES au USD against TSH). Mfano ukiwekeza kwa USD let say for ten years hivi.
Yes you are right na hilo lilikuwa moja ya lengo langu.. kutengeneza safe net ya foreign. Currency (Ksh na USD) nikitagert 10+ years of investment huku nikiwa naongeza capital kwa kadiri nitakavyowezaShukrani sana mkuu kwa muda wako. Information is power.
Hiyo ya kuwekeza nje ya nchi naona ni big deal coz unakuwa na faida mbili:
1. Interest rate kubwa kuliko hapa Tz. Mfano kwa Kenya, Lofty na Etica wanatoa interest rate hadi 18.30% na 18.13% respectively. Unlike to Tz ambapo mifuko yote hakuna inayotoa interest rate zaidi ya 13% if am getting it right;
2. Foreign currency ni more stable kuliko TSH. Mfano tu KES or USD against TSH... KES na USD zinazidi kupaa kila uchwao. So ukiwekeza kwenye mifuko ya nje kwa hizo mentioned currencies (let say for 10 years), kama wewe ulivyofanya, unakuwa on safe side kifaida kwa muktadha wa 'currency exchange' tu pekee na inflation concern.
Mkuu, am I getting it right?
Yes you are right na hilo lilikuwa moja ya lengo langu.. kutengeneza safe net ya foreign. Currency (Ksh na USD) nikitagert 10+ years of investment huku nikiwa naongeza capital kwa kadiri nitakavyoweza
Karibu mkuuGreat! I am on your footprints mkuu.
Ikikupendeza, na kwa ruhusa yako, nitakuja PM ili unimegee some details and basics kuhusiana na hili.
Karibu mkuu
Ni private au public fund..Nimeshangaa sana watu wanakula faida 25% kwa mwaka tofauti na hapa bongo kubwa ni 15% huku wengi wakiishia 12%
Kulikoni wadau,
Naomba muongozo kwenye hili mkuuMh kwa record zangu MMF za kenya mwaka huu na mwaka