Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki wewe ni bangi,, nimecheka hiyo comment yako uliyofuta.. yaani jamaa ana akili za ki 'bra bra' sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko na wild thoughts baba Dickson
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki wewe ni bangi,, nimecheka hiyo comment yako uliyofuta.. yaani jamaa ana akili za ki 'bra bra' sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu sijaifuta mimi ujue 😂😂
Mods wana vimbele mbele kwa mambo yasiyo na msingi hakyanani!😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wao ndiyo wamefuta?? Hawajaona pumba za watu wengine kule juu wakaona comment yako tu??[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Halafu sijaifuta mimi ujue [emoji23][emoji23]
Mods wana vimbele mbele kwa mambo yasiyo na msingi hakyanani![emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wao ndiyo wamefuta?? Hawajaona pumba za watu wengine kule juu wakaona comment yako tu??[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
😂😂😂😂 wamefuta wao,mie huwa sifuti nilichoandika

Labda bra bra imewakumbusha mbali 😂😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂 wamefuta wao,mie huwa sifuti nilichoandika

Labda bra bra imewakumbusha mbali 😂😂😂😂😂😂😂
duu jamani hiyo bra bra mbona hivyo mimi mkurya jamaniii lol
 
Ndugu zangu ijumaa hii Mungu amenibaliki kuongeza maarifa kwa watakao kuwa morogoro ndugu yenu nina graduate moja ya chuo kikuu pale morogoro karibuni sana ilikuwa shughuli pevu sana at last we made it
Kwa uandishi huo,kama wewe ni KE hakuna tatizo ila kama wewe ni ME basi una tatizo kubwa sana.
huo mtazamo wako man,try me dawg
 
Ndugu zangu ijumaa hii Mungu amenibaliki kuongeza maarifa kwa watakao kuwa morogoro ndugu yenu nina graduate moja ya chuo kikuu pale morogoro karibuni sana ilikuwa shughuli pevu sana at last we made it

huo mtazamo wako man,try me dawg
Aisee!
 
najua kaka mimi mtoto wa hapa hapa town mwanzo nilijua kama mdangaji lakini with time akuwa hivyo mzee baba ila wenzake aliokuwa nao wanatia shaka nikajiuliza wanakosea wapi hawa watu swadakta kabisa kaka
Wabeberu husema hivi "NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA". Huyo manzi na wenzake ni wadangaji.
 
Habari wakuu

Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town.

Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride yangu nikaaamua kwenda pale Kisuma bar Magomeni kupata menu na some drinks. Nikiwa naendelea, mida ya saa kumi na mbili hivi wakaja wakina mama flani wamevaa madira flani wako poa wamevaa macheni ya gold na smartphones zao za gharama.

Sasa picha likaanza walikuwa wamekaa mbele yangu, mimi nilikaa meza ya nyuma. Walikuwa wanagonga Serengeti lite kama kawaida sasa kuna mmoja akawa ananiangalia sana(of course am a good looking person) nikajua ana shida ya bia.

Nikamnunulia yeye na wenzake some rounds, hakuamini maana walikuwa kama sita na hawanijui nikawapiga bia zao kadhaa. Sasa yule aliekuwa ananiangalia akaja kunishukuru unajua kimitungu tena shit happen nikamuomba namba tukawa tunachat pale.

Mimi baadaye nikaondoka with no time akaanza kunilalamikia mbona umeondoka mapema bra bra.

Kesho yake nikamtafuta aisee ni mke wa mtu na ana watoto wawili na she is a very out going woman. Nikajiuliza wanawake wanakosea wapi jamani yaani mke wa mtu unajachia hivyo?!!

Ndio ujue hawa wee gegeda tuu ukipenda ujue tutaku peace and love mapema tuu.
 
Back
Top Bottom