Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

nimegundua humu kuna watu wana mawazo finyu sana sijui ni roho mbaya na umaskini wa fikra na kipato mimi hoja yangu sio kusema nina gari na nimetoa ofa ya serengeti lite hoja yangu ni kwamba wake za watu wanakwama wapi wako cheap sana shida hiko wapi
Wewe ushasema umeshampitia huyo mke wa mtu... Hapo una wengine wasio wake za watu...

Amini usiamini utofauti wa tabia na matendo yako ulivyo kuwa mwanzo wa ndoa yako na sasa lazima udhihirike.. Sasa ukikuta mkeo hataki ugomvi nayeye anafanya mambo yake kimyakimya.. UPO
 
Unajiuliza wanawake wanakosea wapi, jiulize pia huyo mumewe nae kakosea wapi, huwezi kuwa na mwanamke wa namna hiyo ukampa hadhi ya kuitwa mke!!

Ujue cheo cha mke au mume kina hadhi kubwa saana, na si kila mtu anapaswa apate hiyo, wengine wana hadhi ya kugongwa tu na kuachwa sio kuweka ndani, unajikuta unakaribisha magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ambukizwa.
Na mleta UZI ajiulize nakosea wapi??! Bagamoyo alienda mlingotini? Wise E
 
Sasa kama umejua ni mke wa mtu, kwnini umeendelea nae?,
 
Siku hizi wake za watu wamekuwa wakichepuka kwa sana tofauti na zaman hivi shida ni nini
Hata zamani walikuwa wanachepuka sema siku hizi mitandao inafanya tujue mengi niko na rafiki yangu msukuma pure lakini ana dada muhindi na huyu alizaliwa early 1960s
 
Hahaha kwanini umewanunulia bia? Asee wewe ndo unastahajabishaaa
 
Back
Top Bottom