Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Dah! Mkuu una umri gani? Uliona wapi nguchiro akashinda na kenge?
Hao wote kundi moja ila anakuweka kwenye target ili ujae na akuchukue sawasawa.. Kuwa makini
mkuu poa mbona nilishia jikataaa kitambo though bado anapiga simu sana nashukuru kwa ushaurii
 
mkuu poa mbona nilishia jikataaa kitambo though bado anapiga simu sana nashukuru kwa ushaurii
hizi ni the other side of story nimeeleza yanayotokeaga tuu kama kutoa uzoefu upaleni natokaje kwa mfano kaka
Anyway nilikuwa nakutahadharisha juu ya watu Wa namna hyo...
Kama unafikir kukupgia simu ndio kupenda basi endelea kufuarahia unavyopendwa.
 
Baba mjini hapo, hao wanawake wako kikazi mangi! Ukiona kavaa kishankupe na vikuku miguuni ujue soon utaliwa, anakuweka sawa tu. Ni mdaganji huyo!!!
si
Anyway nilikuwa nakutahadharisha juu ya watu Wa namna hyo...
Kama unafikir kukupgia simu ndio kupenda basi endelea kufuarahia unavyopendwa.
poa mkuu nimemkataa kiaina halafu am not used kwa wanamke local
 
Kwa Magomeni mambo ya kawaida sana hayo, mume anadanga kusini, mke anadanga kaskazini... asubuhi wanakutana kwa mahesabu kisha wanalala.
halafu ni mtu wa zanzibar anna accent ya kizenji hatarii ukiwa kolo mnapotezwa mabahariaa
 
Kwa Magomeni mambo ya kawaida sana hayo, mume anadanga kusini, mke anadanga kaskazini... asubuhi wanakutana kwa mahesabu kisha wanalala.
cultural gal unaonekana unajua vizurii sana eeh
 
Dah! Mkuu una umri gani? Uliona wapi nguchiro akashinda na kenge?
Hao wote kundi moja ila anakuweka kwenye target ili ujae na akuchukue sawasawa.. Kuwa makini
nilistukia hili kitambo yaani kapagawa na sound ya ride na zile bata kadhaa nilizompiga akawa ananiwekea mazingira ya kihivyo nilishia ligundua watu kibao wameshia pigwa kwa style hiyoo nashukuru kwa uzoefu wako pia kaka
 
halafu nilisahau akaona diary ya ofisini ,akasema unafanyia hapa sikumjibu moja kwa moja akajua hapa yaliyomo yamo mm mwanachi wa kawaida tuu
 
Kama mume ndiye huyu,jiandae kutokupendeza kamwee[emoji3] ,eti anaogopa watakuiba wengine,uoga gani huu jamani[emoji3] [emoji3]
 
Ukimpendezesha mabaharia wanam mezea umate mate kisha wanapanga
mashambulizi ya kujimegea kisela, bora awe kawaida tu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ukitaka mkeo awe kawaida, basi ridhika naye hivo hivo, usiwatamani wake wa wenzako waliopendezeshwa[emoji3]

Afu acha uoga bana ,pendezesha wife
 
Back
Top Bottom