Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

sijajua kuna nini lakini wengi wanalalamika kwamba mume amebadilika hayuko kama zamani ampi muda wa kutosha anaoana kama ajaliwi tena
Ndio kisingizio chao mbwa hao ila ada zikikosekana mjengoni panawaka hapo! Sasa uchague kumpa time au kutafta hela.
 
We jamaa sidhani kama uko timamu Upstairs ..
 
nimegundua humu kuna watu wana mawazo finyu sana sijui ni roho mbaya na umaskini wa fikra na kipato mimi hoja yangu sio kusema nina gari na nimetoa ofa ya serengeti lite hoja yangu ni kwamba wake za watu wanakwama wapi wako cheap sana shida hiko wapi
Iko hivi..Dunia hii inakwenda kasi sana,wake za watu kama wanawake wengine wote duniani ambao waliumbwa na udhaifu mkubwa,ukiachana na uhaba wa nguvu za kiume,upungufu wa pesa majumbani swala #1 lililoharibu watu ni utandawazi,maadili yamechanganywa na maadili yasiyo ya kwetu huku Afrika,wanawake ni wazuri sana wa kutazama tamthilia na movie zozote zile ilimradi zinazungumzia mapenzi mapenzi,akili zao zinawadanganya kua yale wayaonayo kwenye tamthili hao ndiyo maisha wanayotakiwa kuishi na kumbe si kweli, swala #2 ni matatizo ya dunia juu ya utafutaji,ugumu umesababisha wanaume kushiriki utafutaji na wanawake kwa pamoja kwa lengo la kulea familia,hawa wanawake wanapokua huko nje kwenye utafutaji hawana moyo wa kukwepa mitego ya wanaume ilihali na wewe mwanaume umemruhusu kwenda mitaani,kusafiri na kukaa huko madukani na maofisini kitu ambacho kukikwepa ni ngumu kwa dunia ya sasa, simu za mkononi zina mambo mengi yanayoonekana humo ambayo yamejaa misingi ya kigeni na tamaduni za watu weupe wasio na staha,wanawake zetu hawa wanaingia sana facebook,Instagram na kwingineko na kuiga ya huko wakidhani ni sehemu halisi ya maisha haya

Nimeongea madhara kwa kifupi,yako mengi
 
Wise E, Mkuu vipi umetoka upaleni? Kuwa makini na wanawake wanaovaa madela huku ana mkufu mkubwa na mapete ya gold fake na smart phone kubwa hao ni wadangaji tu mbaya zaidi huyo hajaolewa ila anakutafutia target nzuri ya kukuweka sawasawa.
Alishakusoma siku ya kwanza kuwa ww ni mtu Wa aina gani..

Iko siku ukiwa unamgonga atakuja kuwapanga wahuni wajifanye mmefumaniwa watakupiga hela nzuri tu
 
najua kaka mimi mtoto wa hapa hapa town mwanzo nilijua kama mdangaji lakini with time akuwa hivyo mzee baba ila wenzake aliokuwa nao wanatia shaka nikajiuliza wanakosea wapi hawa watu swadakta kabisa kaka
Dah! Mkuu una umri gani? Uliona wapi nguchiro akashinda na kenge?
Hao wote kundi moja ila anakuweka kwenye target ili ujae na akuchukue sawasawa.. Kuwa makini
 
Mkuu vipi umetoka upaleni? Kuwa makini na wanawake wanaovaa madela huku ana mkufu mkubwa na mapete ya gold fake na smart phone kubwa hao ni wadangaji tu mbaya zaidi huyo hajaolewa ila anakutafutia target nzuri ya kukuweka sawasawa.
Alishakusoma siku ya kwanza kuwa ww ni mtu Wa aina gani..

Iko siku ukiwa unamgonga atakuja kuwapanga wahuni wajifanye mmefumaniwa watakupiga hela nzuri tu
hizi ni the other side of story nimeeleza yanayotokeaga tuu kama kutoa uzoefu upaleni natokaje kwa mfano kaka
 
Back
Top Bottom