Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Habari wakuu

Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town.

Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride yangu nikaaamua kwenda pale Kisuma bar Magomeni kupata menu na some drinks. Nikiwa naendelea, mida ya saa kumi na mbili hivi wakaja wakina mama flani wamevaa madira flani wako poa wamevaa macheni ya gold na smartphones zao za gharama.

Sasa picha likaanza walikuwa wamekaa mbele yangu, mimi nilikaa meza ya nyuma. Walikuwa wanagonga Serengeti lite kama kawaida sasa kuna mmoja akawa ananiangalia sana(of course am a good looking person) nikajua ana shida ya bia.

Nikamnunulia yeye na wenzake some rounds, hakuamini maana walikuwa kama sita na hawanijui nikawapiga bia zao kadhaa. Sasa yule aliekuwa ananiangalia akaja kunishukuru unajua kimitungu tena shit happen nikamuomba namba tukawa tunachat pale.

Mimi baadaye nikaondoka with no time akaanza kunilalamikia mbona umeondoka mapema bra bra.

Kesho yake nikamtafuta aisee ni mke wa mtu na ana watoto wawili na she is a very out going woman. Nikajiuliza wanawake wanakosea wapi jamani yaani mke wa mtu unajachia hivyo?!!
Nlikuwepo hapo toka sa Kisuma niliondoka saa10, kuna jamaa yangu alikuwa anafunga mziki kwa Dotto sound, nahisi kama nliwaona hao mashangingi
 
yeye ndio amekomaa sana jana twende bagamoyo hata sikuwahi kuomba game can u imagine nikampeleka sasa ninagafanyaje
Ayayayaa, hatari hii mkuu ilibidi usimuendekeze sana, ila nawewe ulinogewa tu huyoo, fisi kakabidhiwa bucha tena[emoji3] ,au ana goma anataka mlicheze wote!, kuwa makini Wise man.
 
Hapo kisuma Magomeni utamuuzia nani s. lite kwa 3,000/= Au unafikiri hatupajui sisi?
mkuu mgumu kuelewa walimu wako walipata tabu sana sijasema kisuma lite 3000,kuna joints tunakula lite kwwa 3000 halafu atuemii mlachake hata hivyo hoja aikuwa bia shilingi ngapi
 
Unajiuliza wanawake wanakosea wapi, jiulize pia huyo mumewe nae kakosea wapi, huwezi kuwa na mwanamke wa namna hiyo ukampa hadhi ya kuitwa mke!!

Ujue cheo cha mke au mume kina hadhi kubwa saana, na si kila mtu anapaswa apate hiyo, wengine wana hadhi ya kugongwa tu na kuachwa sio kuweka ndani, unajikuta unakaribisha magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ambukizwa.
 
Mkuu, kwanza naomba nikipongeze kwa kumili gari huko Daslam...
Lakini kuhusu huyo mama, sioni nini la kukushairi maana wanaume wa huo mkoa mlisha zowea kulelewa....View attachment 1265500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawapi hapo kaka na mm niende labda naweza kupata zali kama lako Golden Chance
 
Labda alikuwa mke wangu huyo, nilishashindwa kumuwekea mipaka mtu ambaye wote tumekutana mavuzi yameota! Anapenda bia za bar nami napenda bia za nyumbani nikiwa na pc yangu naperuzi jf, shida iko wapi! Stress zingine tunazitafuta kwa bidiii ati?
 
Back
Top Bottom