Uko na wild thoughts baba Dickson
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki wewe ni bangi,, nimecheka hiyo comment yako uliyofuta.. yaani jamaa ana akili za ki 'bra bra' sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sijaifuta mimi ujue [emoji23][emoji23]
Mods wana vimbele mbele kwa mambo yasiyo na msingi hakyanani![emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 wamefuta wao,mie huwa sifuti nilichoandika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wao ndiyo wamefuta?? Hawajaona pumba za watu wengine kule juu wakaona comment yako tu??[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
duu jamani hiyo bra bra mbona hivyo mimi mkurya jamaniii lol😂😂😂😂 wamefuta wao,mie huwa sifuti nilichoandika
Labda bra bra imewakumbusha mbali 😂😂😂😂😂😂😂
Kwa uandishi huo,kama wewe ni KE hakuna tatizo ila kama wewe ni ME basi una tatizo kubwa sana.duu jamani hiyo bra bra mbona hivyo mimi mkurya jamani lol
huo mtazamo wako man,try me dawgKwa uandishi huo,kama wewe ni KE hakuna tatizo ila kama wewe ni ME basi una tatizo kubwa sana.
Aisee!Ndugu zangu ijumaa hii Mungu amenibaliki kuongeza maarifa kwa watakao kuwa morogoro ndugu yenu nina graduate moja ya chuo kikuu pale morogoro karibuni sana ilikuwa shughuli pevu sana at last we made it
huo mtazamo wako man,try me dawg
Wabeberu husema hivi "NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA". Huyo manzi na wenzake ni wadangaji.najua kaka mimi mtoto wa hapa hapa town mwanzo nilijua kama mdangaji lakini with time akuwa hivyo mzee baba ila wenzake aliokuwa nao wanatia shaka nikajiuliza wanakosea wapi hawa watu swadakta kabisa kaka
Mkuu kwani wewe mgeni hapa mjini? Hao ni wake wenye MASTERS (MA).
Kitown town tunawaita MA yaani MARRIED but AVAILABLE.
Unforgetable
Hapana, mwanaume anadanga kwa mijimama ya mjini na mkewe anadanga kwa mijibaba ya mjini....So Mke anapigwa msasa na Mumewe anapumuliwa nyuma kisha asubuhi wanakutana kutoa hesabu walizopata?
Umeipenda sana hii skrepa mbona kila saa unaipostMkuu, kwanza naomba nikipongeze kwa kumili gari huko Daslam...
Lakini kuhusu huyo mama, sioni nini la kukushairi maana wanaume wa huo mkoa mlisha zowea kulelewa....View attachment 1265500
Umeipenda sana hii skrepa mbona kila saa unaipost
Habari wakuu
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town.
Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride yangu nikaaamua kwenda pale Kisuma bar Magomeni kupata menu na some drinks. Nikiwa naendelea, mida ya saa kumi na mbili hivi wakaja wakina mama flani wamevaa madira flani wako poa wamevaa macheni ya gold na smartphones zao za gharama.
Sasa picha likaanza walikuwa wamekaa mbele yangu, mimi nilikaa meza ya nyuma. Walikuwa wanagonga Serengeti lite kama kawaida sasa kuna mmoja akawa ananiangalia sana(of course am a good looking person) nikajua ana shida ya bia.
Nikamnunulia yeye na wenzake some rounds, hakuamini maana walikuwa kama sita na hawanijui nikawapiga bia zao kadhaa. Sasa yule aliekuwa ananiangalia akaja kunishukuru unajua kimitungu tena shit happen nikamuomba namba tukawa tunachat pale.
Mimi baadaye nikaondoka with no time akaanza kunilalamikia mbona umeondoka mapema bra bra.
Kesho yake nikamtafuta aisee ni mke wa mtu na ana watoto wawili na she is a very out going woman. Nikajiuliza wanawake wanakosea wapi jamani yaani mke wa mtu unajachia hivyo?!!
Ntakuambia badaeSiku hizi wake za watu wamekuwa wakichepuka kwa sana tofauti na zaman hivi shida ni nini
Ntakuambia badae