itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
🤣🤣🤣 Kusherehesha uanaume an kama kifungashio ndio kunuka mdomo na kwapa na mikono sugu kama msasaKwanini mtu unuke kwapa lakini jamani? 😅
🤣🤣🤣 Kusherehesha uanaume an kama kifungashio ndio kunuka mdomo na kwapa na mikono sugu kama msasaKwanini mtu unuke kwapa lakini jamani? 😅
Aaaiiiii 😅😅😅🤣🤣🤣 Kusherehesha uanaume an kama kifungashio ndio kunuka mdomo na kwapa na mikono sugu kama msasa
🤣🤣Ni balaa mkuu an kitandani hakuna kuangaliana,,kama dadazetu wanavohangaika na wababa,.nimesoma sehemu Instagram et mbaba anataka anyonywe dushee na kiss kwa wingi bidada anasema mbaba et ananuka mdomo balaa, na akakutana na ukoko wa kimba an vipisi vya mavi lakini kwa umasikini wake akafanya alivoagizwa shida tupu ndio haya sasa,Aaaiiiii 😅😅😅
Very illogical, stupid and lousy reasoningKujipodoa ni kujipaka vipodozi vya kishoga
Very illogical, stupid and lousy responseVipodozi vya kishoga unavyojipaka unataka uwe Aunt nani mkuu?
Bwana niache 😂😂😂😂🤣🤣Ni balaa mkuu an kitandani hakuna kuangaliana,,kama dadazetu wanavohangaika na wababa,.nimesoma sehemu Instagram et mbaba anataka anyonywe dushee na kiss kwa wingi bidada anasema mbaba et ananuka mdomo balaa, na akakutana na ukoko wa kimba an vipisi vya mavi lakini kwa umasikini wake akafanya alivoagizwa shida tupu ndio haya sasa,
Hivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara? Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa. Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga.
View attachment 3640724
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga.
View attachment 3640733
MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.
Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.
View attachment 3642010
Nawasilisha.

Sio kweli. Yan mwanafunzi akiambiwa /akifundishwa na mwl. wake e.g. 93 gawanya kwa 3 jibu ni 31 atashindwa kumwelewa simply kwa sababu mwl. ni shoga? au ww utashindwa kukubali kwamba dunia huzinguka kutoka magharibi kuelekea mashariki utakataa kwa sababu mwl. aliyesema ni shoga? Tafakari.Ushoga huambukizwa kwa kuiga mkuu. Na kumbuka, kama ulivyosema, wanafunzi nao wana akili. Wakishajua kuwa mwalimu wetu ni shoga, hawatakaa wamuelewe anachofundisha darasani, hata angekuwa mwalimu mzuri kiasi gani. Cha muhimu tu mwalimu akishagundulika ni shoga, hatua inayofuata ni serikali kumfuta kazi arudi nyumbani akaendeleze ushoga wake.
Akili inaweza kukupotosha kama ww unavyotupotosha kwamba eti kuna viambata vya ushoga kwenye perfume ilhali umeshindwa hata kututajia jina au vinaitwaje kikemikali.Hili halihitaji kipimo mkuu. Linahitaji matumizi ya akili, tena kidogo tu, utang'amua hilo bila shaka yoyote.
"Your crown deserves royal care."Ushoga unaanzia mbali sana mkuu. Mkuze mtoto wako wa kiume kwa misingi thabiti asije akatumbukia kwenye ushoga.
Very illogical, stupid and lousy reasoning
🤣🤣Pata kitu roho inapenda mkuu, maisha ya mbinde na wakati wa kuenjoy upate mtu ananuka kama choo kweli jameni!!!Bwana niache 😂😂😂😂
Kwahiyo unakubaliana na mimi kuwa msipopaka losheni na mafuta tusilale na nyie unless kwa mbinde sana kwasababu za umasikini!
Wanafunzi wakifundishwa na mwalimu shoga watakuwa wanawaza ushoga tu. Haya unayosema hayatakuwa tena vichwani mwao.Sio kweli. Yan mwanafunzi akiambiwa /akifundishwa na mwl. wake e.g. 93 gawanya kwa 3 jibu ni 31 atashindwa kumwelewa simply kwa sababu mwl. ni shoga? au ww utashindwa kukubali kwamba dunia huzinguka kutoka magharibi kuelekea mashariki utakataa kwa sababu mwl. aliyesema ni shoga? Tafakari.
Ndo mana kiwango cha kufeli kinazidi kuanda eti wanafunzi wanawaza ushoga. Jinga sana - hawatambuzi kwamba hakuna mtihani watakaoulizwa uliona mashoga wangapi.Wanafunzi wakifundishwa na mwalimu shoga watakuwa wanawaza ushoga tu. Haya unayosema hayatakuwa tena vichwani mwao.
Kwa mfano, mwalimu akiingia darasani akiwa amevaa kimini hadi chupi imejichora na mapaja meupe yanaonekana hadharani unafikiri wanafunzi wataelewa chochote? Kasome psychology mkuu.Ndo mana kiwango cha kufeli kinazidi kuanda eti wanafunzi wanawaza ushoga. Jinga sana - hawatambuzi kwamba hakuna mtihani watakaoulizwa uliona mashoga wangapi.
Huyo atakuwa sio mwl. Ualimu kama profession una maadili yake ambayo mwl. anapaswa kuyazingatia e.g. ni marufuku kwa mwl. kuingia darasani na mavazi ya kihuni au kutumia lugha za mitaani.Kwa mfano, mwalimu akiingia darasani akiwa amevaa kimini hadi chupi imejichora na mapaja meupe yanaonekana hadharani unafikiri wanafunzi wataelewa chochote? Kasome psychology mkuu.