itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
🤣🤣🤣 Wanuka kwapa haututaki mkuu!!Msipotumia perfume mtafute wa kulala nao sio sisi 😂😂😂😂
🤣🤣🤣 Wanuka kwapa haututaki mkuu!!Msipotumia perfume mtafute wa kulala nao sio sisi 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Ubwabwa huu
Wanabebwa sana an ukithubutu kuwakanya unaonekana wewe ndio mbaya na unataka shariMtu anayetetea haya mambo mi huwa hata simwelewi,kuna kipindi makonda alianzisha operesheni dhidi ya hawa watu lakini alivyoshambuliwa dah!.
Hadi wanasiasa walimshambulia,tangu pale nilijifunza kitu
Nikitaka niulize hivi mkuu umewahi nasubiri jibuUliiona njemba mkiwa wapi Mkuu na ulichukua hatua gani
Changamoto ya Makonda na yeye alikuwa ame andamwa na mange kuwa eti wana jifungiaga na jiweMtu anayetetea haya mambo mi huwa hata simwelewi,kuna kipindi makonda alianzisha operesheni dhidi ya hawa watu lakini alivyoshambuliwa dah!.
Hadi wanasiasa walimshambulia,tangu pale nilijifunza kitu
Kwanini mtu unuke kwapa lakini jamani? 😅🤣🤣🤣 Wanuka kwapa haututaki mkuu!!
Wazee wakishaanza kuzeeka wanataka sisi vijana mashababi tufanane nao tusijipende tunuke vikwapa tuwe na sura kama kenge, tunuke kama vibambala, mafuta mazuri, perfumes sio ushoga, mimi najipenda na ninapeleka moto kama kawa sijawahi kupungukiwa nguvu za kiume kisa kulinda ngozi yangu.
Mkuu aibu unaona wewe an wao wanajikausha na ikiwezekana kukushobokea hatakama hakujui manina zaoHalafu haya machoko huwa hayana aibu kabisa. Siku moja nilikutana na ***** limevaa hereni mchana kweupe ndani ya basi ikabidi nishuke niahirishe safari.
🤣🤣🤣Tupate kwanza definition ya kujipodoa
Mimi siwezi kuwa mchafu kisa eti napambania kuwa mwanaume.
Am very much smart mpaka serum natumia na kwenye bag nina hand oil mkono ukipauka najipaka. Bafuni shower gel kama kawa. Kwenye gari kuna shoe shine sponge siruhusu kiatu kiwe na vumbi.
Kama unaona ni shoga niletee mkeo au dada yako atakupa majibu
Ile ilikuwa kuchafuana TU,Changamoto ya Makonda na yeye alikuwa ame andamwa na mange kuwa eti wana jifungiaga na jiwe
Hawa watoto wetu sijui Dunia Yao itakuwajeWanabebwa sana an ukithubutu kuwakanya unaonekana wewe ndio mbaya na unataka shari
An itakuwa hovyo zaidi ya leoHawa watoto wetu sijui Dunia Yao itakuwaje
Wasanii wote wanajipodoa kike ukitoa wa hip hop.Tayari wameishaanza mkuu. Daimond anapaka lipstick na kuvaa mawigi.
Dah! Najiulizaga hivi mabinti wote warembo hawa waliomwagwa katika uso wa Dunia,mtu unaacha unafuata wanaume wenzio.An itakuwa hovyo zaidi ya leo
mhhhh nakutamaniWanabebwa sana an ukithubutu kuwakanya unaonekana wewe ndio mbaya na unataka shari
Nakukubali sana Mamba24 kwa kuniongezea pointi kwenye uzi huu unaokemea ushoga, mashoga na tabia za kishoga nchini Tanganyika. Ingia kwenye uzi huu umsikilize Mamba anavyowapinga mashoga mkuu.Hivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara? Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa. Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga.
View attachment 3640724
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga.
View attachment 3640733
MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.
Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.
View attachment 3642010
Nawasilisha.
Wanawake wapo top wazuri balaa hakuna sample utaitaka ukakosa lakini mshenzi mmoja anakuwa shoga,,ukisema wauwawe tu,,utasikia haki za binadamu pumbavu sana wahame tu waende ughaibuni huko huko wakafokoane vizuri huku hatuwatakiDah! Najiulizaga hivi mabinti wote warembo hawa waliomwagwa katika uso wa Dunia,mtu unaacha unafuata wanaume wenzio.
🤣🤣🤣Kutamani tena!!!mhhhh nakutamani