Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Nakazia hoja. Hakuna mama hata akiwa single mama atakayediriki kupenda kijana wake awe shoga -never ever.Hapana
Nakazia hoja. Hakuna mama hata akiwa single mama atakayediriki kupenda kijana wake awe shoga -never ever.Hapana
Hapana -Nakataa.Kuscrub nako ni ushoga tu mkuu. Kwa ujumla, aina yoyote ya ujipodoaji kwa mwanaume ni ushoga.
Astaghifilullah!Watafutiwe wanaume wawaoe kwa mahari ya debe mojamoja la ulezi.Hamna namna!Hivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara? Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa. Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga.
View attachment 3640724
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga.
View attachment 3640733
MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.
Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.
Nawasilisha.
Dah! Paul mwanangu mpendwa; nenda katafute pesa. Achana na kazi ya kuwasakama Me wanaojipodoa na mashoga.Na unashangaa baadhi ya wanaume wakishajipodoa, wanatupia video kwenye social media na wanapata followers wa kutosha. Hata hao followers wanaowafuata mashoga, nao ni mashoga tu, pumbavu zao!

Kwani amefanya hivyo kwa gharama zako? hao wanamuziki mnaowashabikia mbona msiwakatae au?MASHOGA Ni Wengi Ki U Kweli ....Mtoto Wa Kiume Unajipodoa Ili Iwe Vipi
Sio lazima mtu akatae au akubali kila kitu anachofanya msanii anayempenda. Kumshabikia msanii ni kufurahia kazi yake, si kuidhinisha kila uamuzi wake binafsi. Pia, mtu anaweza kukosoa jambo analoona si sahihi bila maana kwamba limemgusa moja kwa moja au limemgharimu. Hoja ijadiliwe kwa hoja, si kwa kuhamishia mjadala kwenye ushabiki.Kwani amefanya hivyo kwa gharama zako? hao wanamuziki mnaowashabikia mbona msiwakatae au?
Mwanaume hadi avae cheni na hereni si ndio shoga lililokubuhu kabisa mkuu? Juzi nilipanda basi nikakaa karibu na mwanaume mmoja nikaja kugundua amevaa hereni. Ilibidi nishuke kwenye basi nitafute usafiri mwingine kwa kuwa ile basi tayari ilishaingia mkosi, laana na balaa!Wanaume wanaojipodoa wakiwemo wale wanaovaa cheni, Rasta n.k. wasikukere. Wanapenda ulimbwende na kuboresha Utanashati wao. Kumbuka mwanaume hata afanyeje ngozi yake itakuwa na mwonekano wa kiume (Tough skin) kutokana na Hormones za kiume.
Kwa hiyo wewe unaweza kumshabikia msaani kama Diamond anayevaa mawigu, vikuku na hereni pamoja kupaka lipstick mkuu?Sio lazima mtu akatae au akubali kila kitu anachofanya msanii anayempenda. Kumshabikia msanii ni kufurahia kazi yake, si kuidhinisha kila uamuzi wake binafsi. Pia, mtu anaweza kukosoa jambo analoona si sahihi bila maana kwamba limemgusa moja kwa moja au limemgharimu. Hoja ijadiliwe kwa hoja, si kwa kuhamishia mjadala kwenye ushabiki.
Nimeelewa unachomaanisha, lakini hoja yangu haikuwa kusema kila mwanaume anayejipodoa au kutumia manukato ni shoga. Utanashati na usafi wa mwili ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote.Hoja mahsusi hapa ni ipi mjomba?? Ushoga au Mwanaume anayejipodoa?
Mm nimeelewa hoja ni mwanaume kujipodoa lakini kadri uzi unavyotiririka na ww binafsi unavyo-react ktk mada hii; inaonekana umejikita au ulilenga zaidi kwenye Ushoga. Mbona Ushoga hauna mahusiano yoyote na mwanaume kujipodoa?
Mwanaume kujipodoa/anapotumia perfume, manukato n.k. haimaanishi yy ni Shoga. Huo ni kwa mtazamo wako na uko huru kufikiria hivyo. Utagombana bure na wanaume watanashati.
Unasema mwanaume kujipodoa ni zaidi ya Ushoga. Swali kwako mjomba: Ikizidi Ushoga huwa inakuwa ni kitu gani?
Mjomba; Wanaume wanaojipodoa wakiwemo wale wanaovaa cheni, Rasta n.k. wasikukere. Wanapenda ulimbwende na kuboresha Utanashati wao. Kumbuka mwanaume hata afanyeje ngozi yake itakuwa na mwonekano wa kiume (Tough skin) kutokana na Hormones za kiume.
Ni hayo tuu.
Ndiyo, naweza kusikiliza au kuthamini muziki wa msanii kama Diamond Platnumz bila kumaanisha kwamba nakubaliana au ninaiga kila uchaguzi wake wa mavazi, mapambo au mtindo wa maisha.Kwa hiyo wewe unaweza kumshabikia msaani kama Diamond anayevaa mawigu, vikuku na hereni pamoja kupaka lipstick mkuu?
Kabisaaa.Nakazia hoja. Hakuna mama hata akiwa single mama atakayediriki kupenda kijana wake awe shoga -never ever.
😂😂😂Msipotumia perfume mtafute wa kulala nao sio sisi 😂😂😂😂
Kwa hiyo wewe unaweza kumshabikia msaani kama Diamond anayevaa mawigu, vikuku na hereni pamoja kupaka lipstick mkuu?
Never Ever Forever....Nakazia hoja. Hakuna mama hata akiwa single mama atakayediriki kupenda kijana wake awe shoga -never ever.
Kwa waislamu hiyo ni sunna. Mtume Muhammad alikuwaga anajipodoa hadi kupaka wanja na hina.
Makebo Adiosamigo Jagina kahtaan THE BIG SHOW Ritz
Kama ni hivyo basi mashoga watakuwa wengi sana humu nchini...Hivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara? Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa. Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga.
View attachment 3640724
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga.
View attachment 3640733
MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.
Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.
Nawasilisha.