Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
1785503931117.png
 
Kuna kipindi hapa karibuni JF ilataka kumezwa na machoko, kulikuwa na kikundi humu kinakuja na mada za kinyumenyume ila wakiaamnisha kuwa wako available wanataka mtu afungue code kuwazamia DM
Hiki kilinge cha hawa mashoga naona nilikipelekea moto kimesambaratika
Ni hawa mapunga hawa Stability Forrest Gump Financial Analyst Chizi Maarifa Eli Cohen
 
Mimi tangu nizaliwe Hadi natumia miaka27 nilikuwa najua matako na mapaja ya wanaume hawapaki mafuta abadani.
Siku Moja nikaona jemba inajipaka matakani na mapajani lotion Niki duwaa asee nikajiuliza kumbe mapaja na matako Hadi mgongo wanaume hupaka mafuta na lotion?

Mimi Hadi Leo nikimaliza kuoga navaa ndoo najipaka mafuta sehemu zilizo wazi na usoni Huwa sijipaki kabisa na Bado nakuwa vzir
Uliiona njemba mkiwa wapi Mkuu na ulichukua hatua gani
 
Mbona kwenye jamii zetu miaka ya nyuma hatukuwa tukiona watu wakizungumzia au kushauri mambo ya ushoga lakini hakukuwa na mashoga? Tofauti na sasa hivi waongeleaji wa ushoga ni wengi lakini idadi ya mashoga ndo inaongezeka?

Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ni kwamba mara nyingi watu wanaotaka kuonekana wanachukia ushoga huwa ni mashoga wa siri yaani labda wanaliwa, wanakula au vyote kwa pamoja. Mwanaume rijali kuongelea ushoga kila mara au kuandika uzi ni kutaka kuficha tabia yake halisi.

Kwa mfano kuna msanii aliyejipa la Mamba (crocodile) ambaye kwenye maongezi yake lazima atamke ushoga ila cha kushangaza mwaka 2004 alimpiga mwenzake sababu ikiwa ni kugombea bwana huko chuga.

Ninashauri tulee watoto wetu kwa namna sahihi kama mila na desturi zinavyoelekeza na kila kitu kitakuwa sawa.
 
Mtakuja kusema na kwenda gym kujiweka mtanashati shoga, hadi perfume na deodorant? Uzi wa kishamba sana kwanza inakuaje unawazia mashoga au mnaeneza indirectly? We fala Makebo unatuma picha kabisa 🤮🤮 kwanza unajiita matako! Yani unazo kwenye simu yako picha za upinde, na mna clips za kichoko pia aisee.. Uzi wa kishoga huu umetungwa kisanifu kinyume nyume, mlaaniwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom