Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Pamoja na hayo kwani ameshindwa kuingia darasani au ametoa materials substandard? Acheni Husda.Upo sahihi mkuu,Kuna mambo kama mwanaume sio ya kushadadia.
Nimeshuhudia mwalimu wa kiume eti kajichubua.
Dume Zima umejaza vikopo vya lotion,pafyumu kwenye dressing table!