Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Duh! Mungu apishilie mbali. Hiyo fasheni sio ya kuiga au kumwacha kijana wako aige - huo ni ujinga.Ni unafiki tu kila mambo na zama zake, kama ni mtu wa kutatuliwa marinda utatuliwa tu hata ukiwa ujipendi, ukiwa unanuka kama beberu watu watakula kinyeo tu.