Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Kuwa Mtanashati lakini mkakamavu, shupavu, mwenye tabia na mienendo ya kiume hilo sio tatizo.
Mtu kuvaa nguo safi, kupaka mafuta mazuri ya ngozi, kuoga, kula chakula safi, kufanya mazoezi, kujipenda huo ndio uanaume.

Sio uwe mchafu, ngozi imekuparama, kuoga huogi, unanuka jasho, mikojo na Mavi wa kushindwa kujiswafi. Unanuka mdomo. Huchani nywele au kunyoa, huweki ndevu vizuri. Useme huo ni uanaume. Hapana. Huo ni uselamavi, umaskini wa kifikra.

Ushoga ni kuwa na tabia za kike, kufanya matendo ya kike, ikiwemo kuingiziwa badala ya kuingiza.
Kujiweka legalese, kuongea kwa sauti laini, kujibebisha bebisha,
Kukosa msimamo, kuwa mbeya mbeya, kufuata mambo yasiyokuhusu, kukaa kikike. Hayo ndio mambo ya ushoga.

Kujipodoa sio tatizo. Ila usijipodoe kama mwanamke.
Kuna kujipodoa kiume na kujipodoa kikike.
Vipo vipodozi kwaajili ya wanaume, marashi ya kiume. Hivyo yaani.

Sasa maskini wao hushindwa kutenganisha utanashati, usafi na ushoga.

Pia Afrika wale wenye sura personal huwaonea wivu wanaume wenye sura na mvuto wa uso. Hivyo huwaita majina mabaya na kejeli ili kufidia wasichokuwa nacho.
Wakati ukifuatilia mashoga wengi asilimia 80 ya waliojitokeza kama mashoga wana sura personal
 
Ndiyo, naweza kusikiliza au kuthamini muziki wa msanii kama Diamond Platnumz bila kumaanisha kwamba nakubaliana au ninaiga kila uchaguzi wake wa mavazi, mapambo au mtindo wa maisha.
Kumshabikia msanii kunaweza kuwa kwa sababu ya vipaji vyake, nyimbo zake au burudani anayotoa. Watu wengi hutenganisha kazi ya msanii na maamuzi yake binafsi kuhusu mavazi, hereni, mawigi, vikuku au vipodozi.
Kwa hiyo, kama mtu hapendi mtindo wa Diamond wa kuvaa mawigi, hereni au vipodozi, bado anaweza kupenda muziki wake. Vivyo hivyo, mwingine anaweza kupenda mtindo wake wa kuvaa na muziki wake pia. Hilo linategemea maoni na uchaguzi wa kila mtu.
Mtu yeyote anayesapoti mambo yanayofanywa na mashoga anasapoti ushoga. Hafai katika jamii. Muogope kama UKIMWI. Huwezi kutenganisha kazi na ushoga wa mwanamuziki. Hata Konki Dudubaya anakushinda kwenye vita dhidi ya ushoga? Konki anapinga ushoga na mashoga lakini wewe unausapoti. Why?
 
Mtu yeyote anayesapoti mambo yanayofanywa na mashoga anasapoti ushoga. Hafai katika jamii. Muogope kama UKIMWI. Huwezi kutenganisha kazi na ushoga wa mwanamuziki. Hata Konki Dudubaya anakushinda kwenye vita dhidi ya ushoga? Konki anapinga ushoga na mashoga lakini wewe unausapoti. Why?
Kutopinga au kuunga mkono jambo ni uchaguzi wa kila mtu, lakini si sahihi kusema moja kwa moja kwamba kila anayefurahia kazi ya msanii anaunga mkono kila jambo analofanya maishani. Wapo wanaopenda muziki wake pekee, na wapo wanaokataa kabisa. Ni muhimu kutofautisha kati ya kufurahia kazi ya mtu na kuidhinisha maisha yake binafsi. Tujadili hoja kwa heshima hata kama tunatofautiana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom