Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Aaaiiiii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
🀣🀣Ni balaa mkuu an kitandani hakuna kuangaliana,,kama dadazetu wanavohangaika na wababa,.nimesoma sehemu Instagram et mbaba anataka anyonywe dushee na kiss kwa wingi bidada anasema mbaba et ananuka mdomo balaa, na akakutana na ukoko wa kimba an vipisi vya mavi lakini kwa umasikini wake akafanya alivoagizwa shida tupu ndio haya sasa,
 
Bwana niache πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwahiyo unakubaliana na mimi kuwa msipopaka losheni na mafuta tusilale na nyie unless kwa mbinde sana kwasababu za umasikini!
 

Malezi ya Single Mother kwa watoto wa kiume Sikuhizi, ndiyo inapelekea kuwa na Mashoga
 

Ila yule sijui Anko T na yule sijui Noel, mpaka najiuliza hivi Ndugu yetu mwamba kabisa ZCO - Faustine Mafwele huwa hawaoni???

KWANINI asifanye jambo juu yao, hii laana ya nchi isiendelee.
 
Sio kweli. Yan mwanafunzi akiambiwa /akifundishwa na mwl. wake e.g. 93 gawanya kwa 3 jibu ni 31 atashindwa kumwelewa simply kwa sababu mwl. ni shoga? au ww utashindwa kukubali kwamba dunia huzinguka kutoka magharibi kuelekea mashariki utakataa kwa sababu mwl. aliyesema ni shoga? Tafakari.
 
Hili halihitaji kipimo mkuu. Linahitaji matumizi ya akili, tena kidogo tu, utang'amua hilo bila shaka yoyote.
Akili inaweza kukupotosha kama ww unavyotupotosha kwamba eti kuna viambata vya ushoga kwenye perfume ilhali umeshindwa hata kututajia jina au vinaitwaje kikemikali.
 
Very illogical, stupid and lousy reasoning

Bwana niache πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwahiyo unakubaliana na mimi kuwa msipopaka losheni na mafuta tusilale na nyie unless kwa mbinde sana kwasababu za umasikini!
🀣🀣Pata kitu roho inapenda mkuu, maisha ya mbinde na wakati wa kuenjoy upate mtu ananuka kama choo kweli jameni!!!
 
mwanaume kila muda anapaka super black , unataka ugundue nini?.
 
Wanafunzi wakifundishwa na mwalimu shoga watakuwa wanawaza ushoga tu. Haya unayosema hayatakuwa tena vichwani mwao.
 
Wanafunzi wakifundishwa na mwalimu shoga watakuwa wanawaza ushoga tu. Haya unayosema hayatakuwa tena vichwani mwao.
Ndo mana kiwango cha kufeli kinazidi kuanda eti wanafunzi wanawaza ushoga. Jinga sana - hawatambuzi kwamba hakuna mtihani watakaoulizwa uliona mashoga wangapi.
 
Ndo mana kiwango cha kufeli kinazidi kuanda eti wanafunzi wanawaza ushoga. Jinga sana - hawatambuzi kwamba hakuna mtihani watakaoulizwa uliona mashoga wangapi.
Kwa mfano, mwalimu akiingia darasani akiwa amevaa kimini hadi chupi imejichora na mapaja meupe yanaonekana hadharani unafikiri wanafunzi wataelewa chochote? Kasome psychology mkuu.
 
Kwa mfano, mwalimu akiingia darasani akiwa amevaa kimini hadi chupi imejichora na mapaja meupe yanaonekana hadharani unafikiri wanafunzi wataelewa chochote? Kasome psychology mkuu.
Huyo atakuwa sio mwl. Ualimu kama profession una maadili yake ambayo mwl. anapaswa kuyazingatia e.g. ni marufuku kwa mwl. kuingia darasani na mavazi ya kihuni au kutumia lugha za mitaani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…