Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Ukiona mwanaume unajipaka losheni matakoni ujue anajiandaa kwa kazi maalumuπŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£
 
Mazembe ya kutongoza ndio mengi yanashinda barbershop kujipodoa ili yapate mademu kwa kitonga matokeo yake yakiwakosa yanajikuta yanaleta shobo kwetu mwisho wa ck ni kuyadinya tu ma ma e zao
 
Kwa akili kama hizi acha wanaume tufe mapema wa mastress yasiyo na mpango. Wanaume tunajirundikia mambo mengi yasiyo na msingi wowote ili kuuthibitidha uanaume wa kweli. Upuuzi tu.
 
Mazembe ya kutongoza ndio mengi yanashinda barbershop kujipodoa ili yapate mademu kwa kitonga matokeo yake yakiwakosa yanajikuta yanaleta shobo kwetu mwisho wa ck ni kuyadinya tu ma ma e zao
Kweli kabisa mkuu. Wanaume tunaringia pesa. Ukiona mwanaume anaringia ulimbwende, ujue ni ***** tu, hakuna namna. Kuna mwanaume mmoja, ni mweupe wa sura lakini amejikoboa hadi anaonekana kama kinyago. Amekosa mwana na maji ya moto......ma.m.ae zake!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hoja mahsusi hapa ni ipi mjomba?? Ushoga au Mwanaume anayejipodoa?
Mm nimeelewa hoja ni mwanaume kujipodoa lakini kadri uzi unavyotiririka na ww binafsi unavyo-react ktk mada hii; inaonekana umejikita au ulilenga zaidi kwenye Ushoga. Mbona Ushoga hauna mahusiano yoyote na mwanaume kujipodoa?
Mwanaume kujipodoa/anapotumia perfume, manukato n.k. haimaanishi yy ni Shoga. Huo ni kwa mtazamo wako na uko huru kufikiria hivyo. Utagombana bure na wanaume watanashati.
Unasema mwanaume kujipodoa ni zaidi ya Ushoga. Swali kwako mjomba: Ikizidi Ushoga huwa inakuwa ni kitu gani?
Mjomba; Wanaume wanaojipodoa wakiwemo wale wanaovaa cheni, Rasta n.k. wasikukere. Wanapenda ulimbwende na kuboresha Utanashati wao. Kumbuka mwanaume hata afanyeje ngozi yake itakuwa na mwonekano wa kiume (Tough skin) kutokana na Hormones za kiume.
Ni hayo tuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…