Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Matajiri huwa wana matatizo sana.
Hujui tu wanamatatizo .
Just imagine mtu ameoa.
Ila amezaa nje halafu kazaa na binamu yake na bado mke wa kwanza anawatoto naye hapo ni nane children .

Sijui haya maisha yakoje
Ila ndio huwezi kunitoa labda afe tu sasa.
Na huyo mtu ni mkimya haongei ni vitendoo.
 
Sad truth
Sababu kila wanamtafuta mwanamke ambae hatowakubali kwa mali walinazo.. bali atawakubali wao kama wao.
Sad truth is wako kidogo. Hasa ukiwa na pesa kila mwanamke utae mtaka ataangalia mali zako. Hatokukubali ww kama ww.
Pata mwanamke anaekukubali ww kama ww.. si pesa zako . Otherwise utaangukia kqa madanga ya mjini daily
 
Kupata mwanamke ni rahisi..tatizo lipo kwenye kupata mwenye penzi la dhati.
 
Back
Top Bottom