francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
Nimecheka sana kumkuta jamaa yangu anasikiliza taarabu yuko bize kabisa.
Kweli wanaume tumeisha
Kweli wanaume tumeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
khaaaa yaaan mipasho kabisa hahahahahaBora yake anayeskiliza kuliko wewe uliekimbilia kutuletea umbea.
It's just music and to each his own. It's only in Tanzania that we will want to classify people as being of a kind as a result of music they listen to.
If you think its gayish then take a proper look around and you and change your thinking.
Unaweka kuta mtu wakasikiliza heavy metals ama trap na kumbe sio straight, so don't be too judgemental.
By the way, mi sisikilizi kabisa taarabu it's just that I want you to stop being judgemental.
Shida ipo kubwa sana na ukimwona mwanaume anasikiliza mashairi hayo mtilie uwalakini maana asilimia 99% ya maneno yaliyomo humo ni maneno ya kike wanachambana!!! vijembe!!! vijingmbo vya kuchukuliana wanaume!!! vijigambo vya kike kujisifu ni wazuri na wenzao ni wabaya!!! sasa mwanaume kweli ...kweli kabisa unasikiliza nini humo!!! labda wale wanaume wanaokaa vikao vya kusengenya asubuhi kwenye veranda na wanawake ....ama mwanaume mwenye tabia na matendo ya kikeSidhani Kama kuna shida sana
Unaweza ukawa upo sawa mkuu lakini mziki ni mpana, mbali na hayo maneno umeongelea pia kuna vitu kama Melodies au beats navyo vinaweza kumvutia mtu kusikiliza nyimbo husika....Shida ipo kubwa sana na ukimwona mwanaume anasikiliza mashairi hayo mtilie uwalakini maana asilimia 99% ya maneno yaliyomo humo ni maneno ya kike wanachambana!!! vijembe!!! vijingmbo vya kuchukuliana wanaume!!! vijigambo vya kike kujisifu ni wazuri na wenzao ni wabaya!!! sasa mwanaume kweli ...kweli kabisa unasikiliza nini humo!!! labda wale wanaume wanaokaa vikao vya kusengenya asubuhi kwenye veranda na wanawake ....ama mwanaume mwenye tabia na matendo ya kike
Mwanaume anayetumia neno "khaaaa" huwa na wasiwasi nayekhaaaa yaaan mipasho kabisa hahahahaha
true mkuuShida ipo kubwa sana na ukimwona mwanaume anasikiliza mashairi hayo mtilie uwalakini maana asilimia 99% ya maneno yaliyomo humo ni maneno ya kike wanachambana!!! vijembe!!! vijingmbo vya kuchukuliana wanaume!!! vijigambo vya kike kujisifu ni wazuri na wenzao ni wabaya!!! sasa mwanaume kweli ...kweli kabisa unasikiliza nini humo!!! labda wale wanaume wanaokaa vikao vya kusengenya asubuhi kwenye veranda na wanawake ....ama mwanaume mwenye tabia na matendo ya kike
kwaiyo mkuu unamaanisha wananipukuchua etMwanaume anayetumia neno "khaaaa" huwa na wasiwasi naye
kwanza siwezi kuita taarabu ni muziki. Hizo ni ghani za mashairi kama ile ya malenga wetu wa enzi za kina mzee ananenga. Hakuna muziki hapo maana varriation hazizidi 3 katika shairi zima kwa lugha nyingine ni chord mbili zinajirudia rudia huwezi kuuita muziki muziki ni lugha iliyokamilika ina mwanzo wake katikakati ,kilele na mwishowe!!!! hayo ni mashairi brother ngoja niishie hapo nisije nikaongea mambo ya interval,modulation n.kUnaweza ukawa upo sawa mkuu lakini mziki ni mpana, mbali na hayo maneno umeongelea pia kuna vitu kama Melodies au beats navyo vinaweza kumvutia mtu kusikiliza nyimbo husika....
wew ni mmoja wao nin huwa unaskiliza ?Kuna saa ukisikiliza unaweza ku define tabia ya mwanamke uliyenaye
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaahahHahahahahahaah simpendi mwanaume anaesikiliza taarabu ....mkigombana mipasho yake hiyo kama shogaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nahisi washaku adjust kimtindo SI unajua Tena Hawa binadam Ni noma hawaelewikwaiyo mkuu unamaanisha wananipukuchua et
hohohoho aiseeYah nahisi washaku adjust kimtindo SI unajua Tena Hawa binadam Ni noma hawaelewi