Inakuwaje mwanaume unasikiliza taarabu?

Inakuwaje mwanaume unasikiliza taarabu?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina neno hapa

CC Zero IQ
 
Sidhani Kama kuna shida sana
 
Bora yake anayeskiliza kuliko wewe uliekimbilia kutuletea umbea.

It's just music and to each his own. It's only in Tanzania that we will want to classify people as being of a kind as a result of music they listen to.

If you think its gayish then take a proper look around and you and change your thinking.

Unaweka kuta mtu wakasikiliza heavy metals ama trap na kumbe sio straight, so don't be too judgemental.

By the way, mi sisikilizi kabisa taarabu it's just that I want you to stop being judgemental.
 
khaaaa yaaan mipasho kabisa hahahahaha
 
Go back and get the best history of taarab music. There are many men taarab singers than women. Primarily taarab is kinda music anyone can listen. Acha uzwa uzwa......sasa wewe huu umbea uliotuletea hapa ndio uanaume?

Sent using my Nokia Torch
 
Sidhani Kama kuna shida sana
Shida ipo kubwa sana na ukimwona mwanaume anasikiliza mashairi hayo mtilie uwalakini maana asilimia 99% ya maneno yaliyomo humo ni maneno ya kike wanachambana!!! vijembe!!! vijingmbo vya kuchukuliana wanaume!!! vijigambo vya kike kujisifu ni wazuri na wenzao ni wabaya!!! sasa mwanaume kweli ...kweli kabisa unasikiliza nini humo!!! labda wale wanaume wanaokaa vikao vya kusengenya asubuhi kwenye veranda na wanawake ....ama mwanaume mwenye tabia na matendo ya kike
 
Mimi naona tatizo kubwa lipo kwako wewe mleta mada kwa kutaka kuwapangia wengine cha kusikiliza.

Kwanini wewe uteseke kwa sababu tu mwanaume mwenzako kasikiliza taarabu?
Kwahiyo kwakuwa wewe unapenda wali ndio unataka wote tuupende wali sio

Au wewe ni mmoja wa wale wavulana wanaoamini kuwa mwanaume ni mpaka uwe na makovumakovu?
Alafu elewa sio kila anayesikiliza mziki anasikiliza maneno ya muziki wenyewe, bali wengine tunapenda beat, kinanda, tarumbeta na vionjo vingine vingi ambavyo hata hatujui kuvitaja kwa majina.

Wewe unafikiri muislamu anaposikiliza kwaya anapenda maneno ya kwaya au staili ya mpigaji?
Hata hivyo sio wakatoliki wote wanaosikiliza kwaya huwa wanapenda maneno yake, bali wengine hupenda mpigaji alivyopiga muziki wake.

Hata wapenda reggae wengi hawajui kinachoongelewa humo sema wanapenda tu beat na vingine.

Tafakari na uchukue hatua
 
Shida ipo kubwa sana na ukimwona mwanaume anasikiliza mashairi hayo mtilie uwalakini maana asilimia 99% ya maneno yaliyomo humo ni maneno ya kike wanachambana!!! vijembe!!! vijingmbo vya kuchukuliana wanaume!!! vijigambo vya kike kujisifu ni wazuri na wenzao ni wabaya!!! sasa mwanaume kweli ...kweli kabisa unasikiliza nini humo!!! labda wale wanaume wanaokaa vikao vya kusengenya asubuhi kwenye veranda na wanawake ....ama mwanaume mwenye tabia na matendo ya kike
Unaweza ukawa upo sawa mkuu lakini mziki ni mpana, mbali na hayo maneno umeongelea pia kuna vitu kama Melodies au beats navyo vinaweza kumvutia mtu kusikiliza nyimbo husika....
 
true mkuu
 
kwanza siwezi kuita taarabu ni muziki. Hizo ni ghani za mashairi kama ile ya malenga wetu wa enzi za kina mzee ananenga. Hakuna muziki hapo maana varriation hazizidi 3 katika shairi zima kwa lugha nyingine ni chord mbili zinajirudia rudia huwezi kuuita muziki muziki ni lugha iliyokamilika ina mwanzo wake katikakati ,kilele na mwishowe!!!! hayo ni mashairi brother ngoja niishie hapo nisije nikaongea mambo ya interval,modulation n.k
 
Back
Top Bottom