Inakuwaje mwanaume unasikiliza taarabu?

Inakuwaje mwanaume unasikiliza taarabu?

Kwa hiyo ni aina ya miziki inafaa kwa wanaume?

Kila aina ya mziki una mambo yake!

Mfano RNB n.k mashoga wapo chungu nzima [emoji108][emoji108]

Niambie aina ya mziki ambao hauna wahuni

Tena ni afadhali ya taarabu mara 99%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza siwezi kuita taarabu ni muziki. Hizo ni ghani za mashairi kama ile ya malenga wetu wa enzi za kina mzee ananenga. Hakuna muziki hapo maana varriation hazizidi 3 katika shairi zima kwa lugha nyingine ni chord mbili zinajirudia rudia huwezi kuuita muziki muziki ni lugha iliyokamilika ina mwanzo wake katikakati ,kilele na mwishowe!!!! hayo ni mashairi brother ngoja niishie hapo nisije nikaongea mambo ya interval,modulation n.k
Mambo yamebadilika bro, ile taarabu walikua wanaghani zamani huku wamekaa kwenye viti ilishapita zamani siku hizi naona midundo inalizwa studio.....

Pia kuiita taarabu sio muziki labda iwe kwa misimamo yako tu ila isiwe kisa haijakidhi masharti ya kuitwa muzika maana ata aina za miziki tunayoiona ndio miziki ata na yenyewe siku hizi haifati hizo kanuni...

Hapa mkuu ni misimamo tu ndio inazua huu mjadala
 
Hizi hadithi za mwanaume hiki mwanaume vile ni hadithi za watu wenye mashaka na jinsia yao.

Ukiona mtu anakuwa na wasiwasi sana na vitendo ambavyo anahisi vinamshusha uanaume wake ujue hata jinsia yake iko kwenye hati hati!! Kama hajawahi kufirwa basi anafira wengine au alifirwa akiwa mtoto.

Halafu watu wanatengeneza pesa kupitia kuimba taarabu na kupitia kupata mashabiki wanaosikiliza taarabu! Kulikuwa na yule baba anaitwa mzee Yusuph, alikuwa anatengeneza milioni za shilingi kupitia muziki wa taarabu.

Wewe uko kwa shemeji yako hapo unajamba na kuning'iniza makende machafu tu huna kazi wala dira umechutama kwenye TEKINO yako 'unachamba' watu.

Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........
 
Hivi unajua kwamba na ww mtoa mada umeleta taarab humu?hizo ni tabia za kike na kitaarabu kumdis mwanaume mwenzako kenge ww!ngoja ninyamaze ban lisije kunipitia.kenge ww.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mambo yamebadilika bro, ile taarabu walikua wanaghani zamani huku wamekaa kwenye viti ilishapita zamani siku hizi naona midundo inalizwa studio.....

Pia kuiita taarabu sio muziki labda iwe kwa misimamo yako tu ila isiwe kisa haijakidhi masharti ya kuitwa muzika maana ata aina za miziki tunayoiona ndio miziki ata na yenyewe siku hizi haifati hizo kanuni...

Hapa mkuu ni misimamo tu ndio inazua huu mjadala
Yote kwa yote iwe muziki!! iwe mashairi mwanaume unatafuta nini kwenye unyago na kitchen party za kike? eti mdundo!!! mdundo???halafu milango ya fahamu kuhusu maneno utakuwa umeifunga? wapi haiwezekani!!!! tena unakuta dume zima limenyanya na vidole juu eti mzuka wa taarabu umepanda??
 
Hahah Daah!!!
Mkuu wangu issue ilikua ni kusikiliza tu taarabu sasa hapo kwenye vidole juu ndio tatizo linapoanzia...
 
Hizi hadithi za mwanaume hiki mwanaume vile ni hadithi za watu wenye mashaka na jinsia yao.
Ukiona mtu anakuwa na wasiwasi sana na vitendo ambavyo anahisi vinamshusha uanaume wake ujue hata jinsia yake iko kwenye hati hati!! Kama hajawahi kufirwa basi anafira wengine au alifirwa akiwa mtoto.
Halafu watu wanatengeneza pesa kupitia kuimba taarabu na kupitia kupata mashabiki wanaosikiliza taarabu! Kulikuwa na yule baba anaitwa mzee Yusuph, alikuwa anatengeneza milioni za shilingi kupitia muziki wa taarabu.
Wewe uko kwa shemeji yako hapo unajamba na kuning'iniza makende machafu tu huna kazi wala dira umechutama kwenye TEKINO yako 'unachamba' watu.
Hii Tanganyika hii!!!
MKUU WEW WALIKUWA WANAKUPUKUCHUA TOKA UTOTONI SEMA UJIJUI NENDA WAKAKUCHUNGUZE VIZURI
 
mkuu UNAIKUMBUKA ILE NYIMBO YA NJIWA PELEKA SALAM ASA ILE NDO TAHARABU YENYEW SIO IZI ZINGINE
Nimekupata hapo mkuu.... Aya embu niambie sasa mwanaume akisikiliza hiyo taarabu ya Njiwa peleka salamu kuna ubaya gani?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
ndio ni shoga mkuu lakin haimbi mipasho eb nitajie nyimbo moja aloimba mipasho???

Rejea kwenye utangulizi wa mada yako pale umeshangazwa na mwanaume kusikiliza muziki wa taarabu!
Hili la mipasho labda liwe kwenye mengineyo!

Mambo ya mipasho sasa hayo inategemea na mapokeo.

Miziki ya zamani ya kina mzee Issa Matona , Shakira n.k wala haikuwaga sana na hayo mambo ya mipasho n.k!

Binafsi mfano namkubali sana Bi Sabaha Salum Muchacho kwa kuwa anakuwa na utulivu flani ktk kuimba ,
Kimsingi huyu madam ndiye aliyepaswa kuwa malkia wa nyimbo za taarabu nchini kuliko hiyo anaetajwa kwa muda mrefu!
Kopa nyimbo zake zina makelele na mipasho mipasho tuuu binafsi sijui hata kwa vipi anajiita malkia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata hapo mkuu.... Aya embu niambie sasa mwanaume akisikiliza hiyo taarabu ya Njiwa peleka salamu kuna ubaya gani?
ule sio mpasho mkuu japo ni taharab kuna mama mmoja nilimuuliza akiwa pembeni yangu kasema ile ndo aina flan ya taharab yenye madiri sio izo za kina mzee yusuph japo sikupingi ni taharabu lakin sio izo za kumzunguka mtu yupo katikat mwanaume unachezesha kidole kweli uo ni ufala
 
Nimejaribu kukupata point yako sasa mkuu, kumbe wewe kilichokua kinakushtua ni kusikiliza mipasho ya taarabu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom