vesta
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 936
- 942
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ni shoga mkuu lakin haimbi mipasho eb nitajie nyimbo moja aloimba mipasho???Kina Elton John ni mashoga na wengine wengi je na hao ni waimbaji wa muziki wa taarabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yamebadilika bro, ile taarabu walikua wanaghani zamani huku wamekaa kwenye viti ilishapita zamani siku hizi naona midundo inalizwa studio.....kwanza siwezi kuita taarabu ni muziki. Hizo ni ghani za mashairi kama ile ya malenga wetu wa enzi za kina mzee ananenga. Hakuna muziki hapo maana varriation hazizidi 3 katika shairi zima kwa lugha nyingine ni chord mbili zinajirudia rudia huwezi kuuita muziki muziki ni lugha iliyokamilika ina mwanzo wake katikakati ,kilele na mwishowe!!!! hayo ni mashairi brother ngoja niishie hapo nisije nikaongea mambo ya interval,modulation n.k
Yote kwa yote iwe muziki!! iwe mashairi mwanaume unatafuta nini kwenye unyago na kitchen party za kike? eti mdundo!!! mdundo???halafu milango ya fahamu kuhusu maneno utakuwa umeifunga? wapi haiwezekani!!!! tena unakuta dume zima limenyanya na vidole juu eti mzuka wa taarabu umepanda??Mambo yamebadilika bro, ile taarabu walikua wanaghani zamani huku wamekaa kwenye viti ilishapita zamani siku hizi naona midundo inalizwa studio.....
Pia kuiita taarabu sio muziki labda iwe kwa misimamo yako tu ila isiwe kisa haijakidhi masharti ya kuitwa muzika maana ata aina za miziki tunayoiona ndio miziki ata na yenyewe siku hizi haifati hizo kanuni...
Hapa mkuu ni misimamo tu ndio inazua huu mjadala
Hahah Daah!!!Yote kwa yote iwe muziki!! iwe mashairi mwanaume unatafuta nini kwenye unyago na kitchen party za kike? eti mdundo!!! mdundo???halafu milango ya fahamu kuhusu maneno utakuwa umeifunga? wapi haiwezekani!!!! tena unakuta dume zima limenyanya na vidole juu eti mzuka wa taarabu umepanda??
MKUU WEW WALIKUWA WANAKUPUKUCHUA TOKA UTOTONI SEMA UJIJUI NENDA WAKAKUCHUNGUZE VIZURIHizi hadithi za mwanaume hiki mwanaume vile ni hadithi za watu wenye mashaka na jinsia yao.
Ukiona mtu anakuwa na wasiwasi sana na vitendo ambavyo anahisi vinamshusha uanaume wake ujue hata jinsia yake iko kwenye hati hati!! Kama hajawahi kufirwa basi anafira wengine au alifirwa akiwa mtoto.
Halafu watu wanatengeneza pesa kupitia kuimba taarabu na kupitia kupata mashabiki wanaosikiliza taarabu! Kulikuwa na yule baba anaitwa mzee Yusuph, alikuwa anatengeneza milioni za shilingi kupitia muziki wa taarabu.
Wewe uko kwa shemeji yako hapo unajamba na kuning'iniza makende machafu tu huna kazi wala dira umechutama kwenye TEKINO yako 'unachamba' watu.
Hii Tanganyika hii!!!
hahahaha aiseeeHahah Daah!!!
Mkuu wangu issue ilikua ni kusikiliza tu taarabu sasa hapo kwenye vidole juu ndio tatizo linapoanzia...
Nimekupata hapo mkuu.... Aya embu niambie sasa mwanaume akisikiliza hiyo taarabu ya Njiwa peleka salamu kuna ubaya gani?mkuu UNAIKUMBUKA ILE NYIMBO YA NJIWA PELEKA SALAM ASA ILE NDO TAHARABU YENYEW SIO IZI ZINGINE
Vp tena mkuu? Nakuona unatumia neno "Khaaa" sikuelewkhaaaa yaaan mipasho kabisa hahahahaha
ndio ni shoga mkuu lakin haimbi mipasho eb nitajie nyimbo moja aloimba mipasho???
Hiiiiiiiiiiiiii... ngoja nicheke kihutu...MKUU WEW WALIKUWA WANAKUPUKUCHUA TOKA UTOTONI SEMA UJIJUI NENDA WAKAKUCHUNGUZE VIZURI
ule sio mpasho mkuu japo ni taharab kuna mama mmoja nilimuuliza akiwa pembeni yangu kasema ile ndo aina flan ya taharab yenye madiri sio izo za kina mzee yusuph japo sikupingi ni taharabu lakin sio izo za kumzunguka mtu yupo katikat mwanaume unachezesha kidole kweli uo ni ufalaNimekupata hapo mkuu.... Aya embu niambie sasa mwanaume akisikiliza hiyo taarabu ya Njiwa peleka salamu kuna ubaya gani?
Nimejaribu kukupata point yako sasa mkuu, kumbe wewe kilichokua kinakushtua ni kusikiliza mipasho ya taarabuule sio mpasho mkuu japo ni taharab kuna mama mmoja nilimuuliza akiwa pembeni yangu kasema ile ndo aina flan ya taharab yenye madiri sio izo za kina mzee yusuph japo sikupingi ni taharabu lakin sio izo za kumzunguka mtu yupo katikat mwanaume unachezesha kidole kweli uo ni ufala