Hivi GSM nayo ni ya kitambo? Miaka ya Nyuma, Mengi, Mafuruki na Diallo walikua wanaingia 10 boraUtajiri unatengenezwa kwa muda mrefu, watz wengi walifungwa na Nyerere kwenye ujamaa, ila nyerere aliwalegezea weupe, ndio mana makampuni kama GSM, SSB, METL yana miaka mingi toka kuanzishwa kwake, ila weusi kampuni zetu ndio kwanza za miaka ya 2000+ so no way zitakuwa kubwa
Short and Clear!Utajiri unatengenezwa kwa muda mrefu, watz wengi walifungwa na Nyerere kwenye ujamaa, ila nyerere aliwalegezea weupe, ndio mana makampuni kama GSM, SSB, METL yana miaka mingi toka kuanzishwa kwake, ila weusi kampuni zetu ndio kwanza za miaka ya 2000+ so no way zitakuwa kubwa
Mbona orodha IPO mkuu??, au huwa huifatili??Sasa TZ hamna orodha maalum ya matajiri, utajuaje nani kamzidi nani?
kwahiyo 'bilionea davis mosha' hayupo na ile lamborghini yake? akipita nayo mahali watu wanashangaa utafikiri sijui nini
ila nina uhakika madon weusi wapo kuna mambo nimeona huko duniani
weka hapa kwa faida ya membersMbona orodha IPO mkuu??, au huwa huifatili??
Hicho nacho kipaji mkuu, Google utaona list ya matajiri wa bongo.weka hapa kwa faida ya members
Umedanganya.Hicho nacho kipaji mkuu, Google utaona list ya matajiri wa bongo.
Sawa uko sahihi,Umedanganya.