Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

Hakuna waarabu wala wahindi bali ni watanzania wenye asili za Tabora, Singida, Songea, Morogoro, Iringa n.k

Mo Dewji ni mnyaturu, Rostam Aziz ni mnyamwezi, wafanyabiashara wengine ni wapemba, wandendeule, waluguru, wasukuma wa Nassa n.k

Hakuna mfanyabiashara mkubwa top 10 Tanzania aliye mwarabu, myemeni wala mhindi.
 
kwa sababu ya uislamu, matajiri waislamu wamepewa utajiri na maraisi waislamu au wametajirikia kwenye uraisi wa waislamu.

sasa kuna tofauti kwenye mafundisho ya kidini kati ya uislamu na ukristo, ukristo unapendelea wazawa wa nchi husika na wazawa wengi kwanza imo kwenye Biblia wakati waislamu unapendelea muislamu acchh it’s just too complicated naishia hapo …
Pathetic
 
Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!

Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
Historia....inaanzia toka ukoloni wa waarabu mpaka wazungu hapa pwani ya afrika mashariki.
 
Sasa TZ hamna orodha maalum ya matajiri, utajuaje nani kamzidi nani?

kwahiyo 'bilionea davis mosha' hayupo na ile lamborghini yake? akipita nayo mahali watu wanashangaa utafikiri sijui nini

ila nina uhakika madon weusi wapo kuna mambo nimeona huko duniani
Lamborgini kama ni kipimo cha kuwa tajiri mzito sana tz basi hata Diamond anaingia.
 
Hakuna waarabu wala wahindi bali ni watanzania wenye asili za Tabora, Singida, Songea, Morogoro, Iringa n.k

Mo Dewji ni mnyaturu, Rostam Aziz ni mnyamwezi, wafanyabiashara wengine ni wapemba, wandendeule, waluguru, wasukuma wa Nassa n.k

Hakuna mfanyabiashara mkubwa top 10 Tanzania aliye mwarabu, myemeni wala mhindi.
Endelea kujidanganya, hao jamaa wana ishi kivyao, ni raia tu lakini kwa mgongo wa kutajirikia Tanzania.

hata shughuli za kijamii kama misibani hawajichanganyi, labda marehemu awe mtu mzito sana. hata kuoana wanaoana wao kwa wao labda mbongo uwe mzito sana kwa cheo au mkwanja.

Kampuni zao nyingi zinazoajiri watanzania wa asili zinaongoza kwa unyanyasaji na ubaguzi,
 
Walianza kupata utajiri mapema na ndiyo maana unaona ni wa kurithi. Yule Chande asingenyang'anyagwa utajiri na Nyerere leo hii wakina Bakhresa wangekuwa wanaiona familia ya Chande kwa mbali sana.
 
Sasa TZ hamna orodha maalum ya matajiri, utajuaje nani kamzidi nani?

kwahiyo 'bilionea davis mosha' hayupo na ile lamborghini yake? akipita nayo mahali watu wanashangaa utafikiri sijui nini

ila nina uhakika madon weusi wapo kuna mambo nimeona huko duniani
Mosha wa kawaida sana matajiri wa kichaga walikuwa Mengi na Shirima.

Hawa wanaoanziwa na neno billionea wote wa kawaida .
 
hata shughuli za kijamii kama misibani hawajichanganyi,

Tuache kulilia kila mtu katika jamii isiyo yetu afike ktk shughuli za kijamii ambazo ukweli hazina uhusiano kimila, desturi na kitamaduni.

Tanzania ina zaidi ya makundi 120 tofauti na kila kundi lina jadi zake.

Mfano huko Kenya :

baraza la mawaziri hii leo likiafikia kusajiliwa na kupewa kitambulisho kwa watu wa jamii hiyo ya wamakonde kuwa kabila la 43

View: https://m.youtube.com/watch?v=6QQcWcvGv0M

Kabila la washona lawa la 45 kutambulika Kenya

View: https://m.youtube.com/watch?v=ebx7IXc104k

Jamii ya 'kihindi' yatambuliwa kuwa kabila la 44 rasmi nchini Kenya

View: https://m.youtube.com/watch?v=Q8nqBcom-Fg

Wapemba watambuliwa kama jamii ktk makabila ya Kenya

View: https://m.youtube.com/watch?v=ldRC58u82-8
 
Mfumo wa maisha ya watu weusi wengi wa mwenye mali na biashara akifa mnagawana alivoviacha hatutakaa kuwa matajiri kamwe. Leo utajiri wa marehemu Mengi aliekuwa kwenye namba tatu hauonekani sababu ya akili za kijima.
 
Hakuna waarabu wala wahindi bali ni watanzania wenye asili za Tabora, Singida, Songea, Morogoro, Iringa n.k

Mo Dewji ni mnyaturu, Rostam Aziz ni mnyamwezi, wafanyabiashara wengine ni wapemba, wandendeule, waluguru, wasukuma wa Nassa n.k

Hakuna mfanyabiashara mkubwa top 10 Tanzania aliye mwarabu, myemeni wala mhindi.
Indigenous Tanzanian

Hao sio
Indigenous Tanganyikan ,ingawa ni wa tz ingawa Mimi naamini indigenous Tanzanian mda sio mrefu watapatikana kwenye top ten
 
Back
Top Bottom