Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiwa ndani ya Kristo naye ndani yetu hatutakufa bali tutaishiOoohooo kakubwa atavutaa sio muda
Bado hatujafa tunaishi kwa nguvu yake yeye aliye juuHao ulio watagged hapo huenda washafariki
Huo ndo uzuri wako Legend umegusa angle zote yaan wapenda kula umewapa uzi, wapenda vituko,wazee wa camouflage, watu wa holahola(witchs),walevi, wala bata etc. Kuna haja vijana sisi kabla hatujafungua nyuzi tukague kwanza threads zako uenda tunafanya marudio bure....Dah nina mada yake ngoja niitafute nikiikosa nitarudi na maelezo
[emoji16][emoji16][emoji1752][emoji1545][emoji23]Huo ndo uzuri wako Legend umegusa angle zote yaan wapenda kula umewapa uzi, wapenda vituko,wazee wa camouflage, watu wa holahola(witchs),walevi, wala bata etc. Kuna haja vijana sisi kabla hatujafungua nyuzi tukague kwanza threads zako uenda tunafanya marudio bure....
Kuna haja upewe tuzo ya heshima maana akili yako kubwa sana inasaidia wengi.[emoji16][emoji16][emoji1752][emoji1545][emoji23]
Mimi naomba usinifikirie kabisa maana bado nina watoto nasomesha!!Utakua unatania bana ila ukweli ninaogopa hasa nikishaanza kumuwaza mtu ambaye sjanana naye muda mrefu
nimeolewa, mama wa watoto wawili, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote tangu nimezaliwa mpaka hapa nilipofikia kuhus ibada yes nafanya japo sio kimkazo sanaJitaid kujikita zaid katika ibada na kujiepusha na mambo maovu kama pombe au tendo la ndoa kama umeolewa utajikuta unaona mengi na kujua mengi dunia ni pana zaid ya unavoijua mung ameumba vizur n vibaya malaika wazuri n waheri wapo nawe ila hujui kuwatumi. Nimejikuta tu nimeandika hata sijui nimeandika nn ila amin hvo