Inakuwaje nikimfikiria mtu ambaye sijamuona muda mrefu, nikija kumuulizia kwa watu ninaambiwa kafariki

Dah nina mada yake ngoja niitafute nikiikosa nitarudi na maelezo
Huo ndo uzuri wako Legend umegusa angle zote yaan wapenda kula umewapa uzi, wapenda vituko,wazee wa camouflage, watu wa holahola(witchs),walevi, wala bata etc. Kuna haja vijana sisi kabla hatujafungua nyuzi tukague kwanza threads zako uenda tunafanya marudio bure....
 
Jitaid kujikita zaid katika ibada na kujiepusha na mambo maovu kama pombe au tendo la ndoa kama umeolewa utajikuta unaona mengi na kujua mengi dunia ni pana zaid ya unavoijua mung ameumba vizur n vibaya malaika wazuri n waheri wapo nawe ila hujui kuwatumi. Nimejikuta tu nimeandika hata sijui nimeandika nn ila amin hvo
 
[emoji16][emoji16][emoji1752][emoji1545][emoji23]
 
Jitaid kujikita zaid katika ibada na kujiepusha na mambo maovu kama pombe au tendo la ndoa kama umeolewa utajikuta unaona mengi na kujua mengi dunia ni pana zaid ya unavoijua mung ameumba vizur n vibaya malaika wazuri n waheri wapo nawe ila hujui kuwatumi. Nimejikuta tu nimeandika hata sijui nimeandika nn ila amin hvo
nimeolewa, mama wa watoto wawili, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote tangu nimezaliwa mpaka hapa nilipofikia kuhus ibada yes nafanya japo sio kimkazo sana
 
Back
Top Bottom