harmonize kamtoa kwenye reli rayvan .asaivi anaonekana kama ka underground flaniHuo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
tetema imetolewa remix mbili lakini ni matango Pori tuStress labda wewe ambae unamsifia Ommy miaka ya leo[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna anachofanya kwa sasa.. Labda enzi za nai nai kidogo
Pole Sana.... Nyie ndio wale mliopost mnakumbuka nyimbo ya Bolingo ya Alicious mnaimiss mliisikia wakati mama yenu anaiimba. Full kunuka maziwa. Ni ngumu kumuelekeza kijana anayevaa suruali inabana mwili Kama weweHivi muziki gani wa Ommy dimpoz unaweza kusikilizwa dunia ingine?
.
Unajua kweli hata muziki unapendewa nini kwa mtu asiyejua lugha iliyotumika
Sijui vigezo walivyotumia hao Afrimma.Unataka kusema na Afrimma walitumia mfumo kama ule wa EA Radio/TV?,kama ni hivo Diamond alishindwa nin kuwafanyiwa wasanii wake hvo ikiwa yeye kaingia category sita?
Mkuu komaa na kufuga vyura. Haya mambo ya uchambuzi huyawezi na wala sio level zako.Kumbe nilikuwa nabishana na mtu wa dizaini hii lol!
Hiyo Dunia ingine ndiyi ipi??Ongeza sautiiii aseee.... Eti Kanyaga ukimuuliza Kuna ujumbe gani hatokujibu, Inama sijui pochi Nene .... Hiyo ni miziki ya kubanjuka tu huwezi kuisikiliza dunia ingine...
Pole Sana.... Nyie ndio wale mliopost mnakumbuka nyimbo ya Bolingo ya Alicious mnaimiss mliisikia wakati mama yenu anaiimba. Full kunuka maziwa. Ni ngumu kumuelekeza kijana anayevaa suruali inabana mwili Kama wewe
I can be older than you kid, jibu swali langu kama kweli wewe unaujua muziki umeisikia Nyimbo ya mapenzi ya Kihindi au kikorea si yakuchezeka kabisa kwamba utapenda melody ni kitu gani kitakufanya uipende?Pole Sana.... Nyie ndio wale mliopost mnakumbuka nyimbo ya Bolingo ya Alicious mnaimiss mliisikia wakati mama yenu anaiimba. Full kunuka maziwa. Ni ngumu kumuelekeza kijana anayevaa suruali inabana mwili Kama wewe
Music ni melody au mashairi wewe ambaye ni mkubwa?Ngumu mnoooo. Achana nao mkuu, wakikua wataelewa tuu.
Mimi sio shabiki wewe hujui lolote kwenye muziki yani HUJUIIII ndio maana nakuona ndezi kumbuka maneno yangu umechelewa sana kuja mjini shukuru hata hako kachuo kamekufanya ukujue ila ujanja bado hunaMkuu komaa na kufuga vyura. Haya mambo ya uchambuzi huyawezi na wala sio level zako.
Mpaka utakapoacha ushabiki ndipo utaweza kuona mambo in 2 way. Kwa sasa upo 1 way oriented.
Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.Music ni melody au mashairi wewe ambaye ni mkubwa?
Nimeuliza hivi mtu pori Music ni melody au mashairi?Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.
Unaweza kukaa tu ... Mmechili ukasikiliza Kanyaga!!?? .... Utakuwa kichwa inapitisha upepo....Hiyo Dunia ingine ndiyi ipi??
Kwa hiyo muziki wanajua walioko mjini tuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio shabiki wewe hujui lolote kwenye muziki yani HUJUIIII ndio maana nakuona ndezi kumbuka maneno yangu umechelewa sana kuja mjini shukuru hata hako kachuo kamekufanya ukujue ila ujanja bado huna
Utakuwa ni mmoja wa mozombi wa wasafi....I can be older than you kid, jibu swali langu kama kweli wewe unaujua muziki umeisikia Nyimbo ya mapenzi ya Kihindi au kikorea si yakuchezeka kabisa kwamba utapenda melody ni kitu gani kitakufanya uipende?
.
Na swali la mwisho muziki ni Melody au mashairi?
Vijana msioenda shule mnajua music inacomprise melody and lyrics only, poleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeuliza hivi mtu pori Music ni melody au mashairi?
.
Usinipe majibu ya watoto wa shule
Nimeuliza hivi mtu pori Music ni melody au mashairi?
.
Usinipe majibu ya watoto wa shule
Achana na remix... Ngoma yenyewe...Ikipigwa ile na wanjera ipi itatimua vumbi kwa raia??tetema imetolewa remix mbili lakini ni matango Pori tu