Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
wewe bado sana aseeNimeuliza hivi mtu pori Music ni melody au mashairi?
.
Usinipe majibu ya watoto wa shule
utalinganishaje nyimbo ya miaka miwili nyuma na ya mwaka huu?Achana na remix... Ngoma yenyewe...Ikipigwa ile na wanjera ipi itatimua vumbi kwa raia??
Ebu wapenzi wa music munipe kama kuna mtu anaelewa chochote au kama kuna kitu utajifunza tika kwenye wimbo huu:tetema? Au haujui mziki ni nini!
Ommy Dimpoz ana ngoma kali sana ambazo rayvany hajazifikia, pengine hatoweza kuzifikia.
Wanao ujua mziki na maana yake ndiyo maana wamempatia na watazidi kumpatia Ommy haki yake.
Tetema na nyimbo kama hizo ni nyimbo za kusikiliza tu hapa mtaani, lakini siyo huko Kwenye dunia ya watu.
Pia watu wamekariri "wasafi wasafi" hata ikitoka wimbo mbovu, bado wafuasi wa wcb watataka tu kuupaisha japo haufai.
Sauti iko sawa au niongeze!
Tuwe wakweli watu wameanza ku stream kutokana na remix iliyowahusisha wakina pitbull ... Lazima watu wacheki original after remixwasanii wa bongo kupata views wengi na streamed kama hizo ni kitu cha kawaida sana,na sababu kubwa hazijajulikana bado,kibongo bongo ni hivyo vtu ni kawaida sana so haviwez kuniaminisha kuwa ndo ngoma Kali iliyo Fanya poa kwa East Africa kwa mwaka huu, labda useme kibongo bongo.
Ebu wapenzi wa music munipe kama kuna mtu anaelewa chochote au kama kuna kitu utajifunza tika kwenye wimbo huu:
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)
Its s2kizzy baby
Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi
Katoto kamenoga
(ooh mama)
Nakapandizi za bukoba
(ooh mama)
Nakapadisha bodaboda
(ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga
(ooh mama)
Aaahh mama shigidi aah
Nakufa wooi wicked aahh
Aahh mama shigidi konki
Fire, moto, liquidy
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chiniβ¦
Dah Achana na kitu Socco aisee hyo ngoma ni habari nyingne,hata kama haina ujumbe ila goma limepangika hataree.Mziki una kazi mbili Kuelimisha na KUBURUDISHA.Hv hizi nyimbo zilizokimbiza Africa mpaka style zake za uchezaji zina maana gani.
Soco-Wizkid
Skelewu-Davido
Azonto
Alingo-Psquare
Shoki-Lil kesh.
Au hizi unazikubali sababu wameimba Kingereza.
Mkubwa taja hizo zilizofanya vizuri zaidi usilete blahblahwasanii wa bongo kupata views wengi na streamed kama hizo ni kitu cha kawaida sana,na sababu kubwa hazijajulikana bado,kibongo bongo ni hivyo vtu ni kawaida sana so haviwez kuniaminisha kuwa ndo ngoma Kali iliyo Fanya poa kwa East Africa kwa mwaka huu, labda useme kibongo bongo.
Kwa hiyo unaipenda sababu imepangika?Dah Achana na kitu Socco aisee hyo ngoma ni habari nyingne,hata kama haina ujumbe ila goma limepangika hataree.
sikubali maana hazina maudhuiMziki una kazi mbili Kuelimisha na KUBURUDISHA.Hv hizi nyimbo zilizokimbiza Africa mpaka style zake za uchezaji zina maana gani.
Soco-Wizkid
Skelewu-Davido
Azonto
Alingo-Psquare
Shoki-Lil kesh.
Au hizi unazikubali sababu wameimba Kingereza.
Na pia zinadumu muda mrefu. Hizi uwa hazidumu wanazipapukia baada ya miezi kadhaa zimesahaulikaKwa hiyo unaipenda sababu imepangika?
Tetema na Soco type ya hizo hizo ,ukiangalia nyimbo zilizosumbua nyingi Africa hazina maana ila midundo ,vibwagizo ndivyo vinafanya nyimbo iwe nzuri.
Nyimbo ya Africa iliyosumbua na Yenye ujumbe na uandishi mzuri wa mashairi ni Ojuelegba ya Wizkid kwa kipindi hiki cha miaka 8,nyingine zile zile za kila siku.
Hukubaliani nazo ww lakini kuanzia kwenye digital platform zinaongoza kwa mauzo,kwenye redio zinaongozwa kwa kuombwa,zimechukua tuzo kibao na mpaka sasa kwenye online streaming zinaongozwa kwa kusikilizwa.We kutozikubali huzizuii kufanya vizuri lakini ukija upande wa NUMBER zinaongoza katika kila kitu.sikubali maana hazina maudhui
Hivi kudumu kwa nyimbo unatumia Parameter gani kuquantify.?Na pia zinadumu muda mrefu. Hizi uwa hazidumu wanazipapukia baada ya miezi kadhaa zimesahaulika
Tumia akili yako vizuri. Hpa tulikuwa tunaongelea nyimbo zilizokubalika na kuingizwa kwenye shindano la AfrimmaHukubaliani nazo ww lakini kuanzia kwenye digital platform zinaongoza kwa mauzo,kwenye redio zinaongozwa kwa kuombwa,zimechukua tuzo kibao na mpaka sasa kwenye online streaming zinaongozwa kwa kusikilizwa.We kutozikubali huzizuii kufanya vizuri lakini ukija upande wa NUMBER zinaongoza katika kila kitu.
Sijajua mimi na ww nani hatumii akili zake vizuri.Tumia akili yako vizuri. Hpa tulikuwa tunaongelea nyimbo zilizokubalika na kuingizwa kwenye shindano la Afrimma
Kiukweli. Muziki labda niukute unapigwa sehemu au harusini ndo niulize dj huu wimbo wa nani? lakin sio mshabiki kiviile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa huwa hasikilizi mziki anamake money tu
Nimeuliza swali muziki ni mashairi au melody? Hizo pumba zako kawashie mkaawewe bado sana asee
umekazana kabisa eti music ni mashairi au melody!
muziki ni zaidi ya unavyojua nitafute nikupe darasa bure kabisa.
mfuate hata p funk hapo atakwambia vizuri. nini maana ya muziki..
πππHivo vi tatoo ndio vinakufanya ujione ushafika USA sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na ww tunaishi 3rd world country, so wote ni watupori tuu mfuga vyura
Usijione mjanja saana wakati ni mlugaluga wa akili mpaka mwili.
Una hela wewe?Utakuwa ni mmoja wa mozombi wa wasafi....
Hizo tafsiri zako wanafundishwa watoto wa shule za msingi huko hata chuo cha muziki bagamoyo au mlimani hawana tafsiri hiyo.Vijana msioenda shule mnajua music inacomprise melody and lyrics only, poleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafakari maana ya music niliyokupa hapo juu.