Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

Nimeuliza hivi mtu pori Music ni melody au mashairi?
.
Usinipe majibu ya watoto wa shule
wewe bado sana asee
umekazana kabisa eti music ni mashairi au melody!

muziki ni zaidi ya unavyojua nitafute nikupe darasa bure kabisa.

mfuate hata p funk hapo atakwambia vizuri. nini maana ya muziki..
 
Achana na remix... Ngoma yenyewe...Ikipigwa ile na wanjera ipi itatimua vumbi kwa raia??
utalinganishaje nyimbo ya miaka miwili nyuma na ya mwaka huu?

fananisha zilizotoka kwa wakati sawa..

acha kujitoa akili
 
tetema? Au haujui mziki ni nini!
Ommy Dimpoz ana ngoma kali sana ambazo rayvany hajazifikia, pengine hatoweza kuzifikia.
Wanao ujua mziki na maana yake ndiyo maana wamempatia na watazidi kumpatia Ommy haki yake.
Tetema na nyimbo kama hizo ni nyimbo za kusikiliza tu hapa mtaani, lakini siyo huko Kwenye dunia ya watu.
Pia watu wamekariri "wasafi wasafi" hata ikitoka wimbo mbovu, bado wafuasi wa wcb watataka tu kuupaisha japo haufai.

Sauti iko sawa au niongeze!
Ebu wapenzi wa music munipe kama kuna mtu anaelewa chochote au kama kuna kitu utajifunza tika kwenye wimbo huu:
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)
Its s2kizzy baby
Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi
Katoto kamenoga
(ooh mama)
Nakapandizi za bukoba
(ooh mama)
Nakapadisha bodaboda
(ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga
(ooh mama)
Aaahh mama shigidi aah
Nakufa wooi wicked aahh
Aahh mama shigidi konki
Fire, moto, liquidy
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini…
 
Angalia ushairi unajitosheleza
Leo nataka niwajuze
Wenye vimaneno maneno wapunguze
Moyo wako niutulize eeh (haya)
Yao tusiyajali tuyapuuze(sawa)
Wenye chuki hao,
Wabaki na fitina zao
Tuachane nao
Wapambane na hali zao
Wenye chuki zao
Wabaki na fitina zao
Tuachane nao
Wapambane na hali zao(ooh eeh eeh)
Yelele yelele, yelele yelele
Baby you are my rockstar
Yelele yelele, yelele yelele
My number one rockstar
You are, you are, you are, you are, you are
Baby you are my rockstar
You are, you are, you are, you are, you are
My African rockstar
We mshale me upinde
Basi penzi letu tulilinde
Chuki zao tuzishinde(haya)
Dua kwa baba God ooh
Na Nawashindwe(sawa)
Wenye chuki hao
Majungu na fitina zao
Tuachane nao
Wapambane na hali zao
Wenye chuki hao
Majungu na fitina zao
Tuachane nao
Wapambane na hali zao
Yelele…
 
wasanii wa bongo kupata views wengi na streamed kama hizo ni kitu cha kawaida sana,na sababu kubwa hazijajulikana bado,kibongo bongo ni hivyo vtu ni kawaida sana so haviwez kuniaminisha kuwa ndo ngoma Kali iliyo Fanya poa kwa East Africa kwa mwaka huu, labda useme kibongo bongo.
Tuwe wakweli watu wameanza ku stream kutokana na remix iliyowahusisha wakina pitbull ... Lazima watu wacheki original after remix
 
Mziki una kazi mbili Kuelimisha na KUBURUDISHA.Hv hizi nyimbo zilizokimbiza Africa mpaka style zake za uchezaji zina maana gani.
Soco-Wizkid
Skelewu-Davido
Azonto
Alingo-Psquare
Shoki-Lil kesh.
Au hizi unazikubali sababu wameimba Kingereza.
Ebu wapenzi wa music munipe kama kuna mtu anaelewa chochote au kama kuna kitu utajifunza tika kwenye wimbo huu:
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)
Its s2kizzy baby
Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi
Katoto kamenoga
(ooh mama)
Nakapandizi za bukoba
(ooh mama)
Nakapadisha bodaboda
(ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga
(ooh mama)
Aaahh mama shigidi aah
Nakufa wooi wicked aahh
Aahh mama shigidi konki
Fire, moto, liquidy
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini…
 
Mziki una kazi mbili Kuelimisha na KUBURUDISHA.Hv hizi nyimbo zilizokimbiza Africa mpaka style zake za uchezaji zina maana gani.
Soco-Wizkid
Skelewu-Davido
Azonto
Alingo-Psquare
Shoki-Lil kesh.
Au hizi unazikubali sababu wameimba Kingereza.
Dah Achana na kitu Socco aisee hyo ngoma ni habari nyingne,hata kama haina ujumbe ila goma limepangika hataree.
 
wasanii wa bongo kupata views wengi na streamed kama hizo ni kitu cha kawaida sana,na sababu kubwa hazijajulikana bado,kibongo bongo ni hivyo vtu ni kawaida sana so haviwez kuniaminisha kuwa ndo ngoma Kali iliyo Fanya poa kwa East Africa kwa mwaka huu, labda useme kibongo bongo.
Mkubwa taja hizo zilizofanya vizuri zaidi usilete blahblah
 
Dah Achana na kitu Socco aisee hyo ngoma ni habari nyingne,hata kama haina ujumbe ila goma limepangika hataree.
Kwa hiyo unaipenda sababu imepangika?
Tetema na Soco type ya hizo hizo ,ukiangalia nyimbo zilizosumbua nyingi Africa hazina maana ila midundo ,vibwagizo ndivyo vinafanya nyimbo iwe nzuri.

Nyimbo ya Africa iliyosumbua na Yenye ujumbe na uandishi mzuri wa mashairi ni Ojuelegba ya Wizkid kwa kipindi hiki cha miaka 8,nyingine zile zile za kila siku.
 
Mziki una kazi mbili Kuelimisha na KUBURUDISHA.Hv hizi nyimbo zilizokimbiza Africa mpaka style zake za uchezaji zina maana gani.
Soco-Wizkid
Skelewu-Davido
Azonto
Alingo-Psquare
Shoki-Lil kesh.
Au hizi unazikubali sababu wameimba Kingereza.
sikubali maana hazina maudhui
 
Kwa hiyo unaipenda sababu imepangika?
Tetema na Soco type ya hizo hizo ,ukiangalia nyimbo zilizosumbua nyingi Africa hazina maana ila midundo ,vibwagizo ndivyo vinafanya nyimbo iwe nzuri.

Nyimbo ya Africa iliyosumbua na Yenye ujumbe na uandishi mzuri wa mashairi ni Ojuelegba ya Wizkid kwa kipindi hiki cha miaka 8,nyingine zile zile za kila siku.
Na pia zinadumu muda mrefu. Hizi uwa hazidumu wanazipapukia baada ya miezi kadhaa zimesahaulika
 
sikubali maana hazina maudhui
Hukubaliani nazo ww lakini kuanzia kwenye digital platform zinaongoza kwa mauzo,kwenye redio zinaongozwa kwa kuombwa,zimechukua tuzo kibao na mpaka sasa kwenye online streaming zinaongozwa kwa kusikilizwa.We kutozikubali huzizuii kufanya vizuri lakini ukija upande wa NUMBER zinaongoza katika kila kitu.
 
Na pia zinadumu muda mrefu. Hizi uwa hazidumu wanazipapukia baada ya miezi kadhaa zimesahaulika
Hivi kudumu kwa nyimbo unatumia Parameter gani kuquantify.?

Bob Marley nyimbo zake zinaishi sababu kila mwaka mauzo ya nyimbo zake na malipo ya kupigwa redioni zinaingia karibia dollar mil 30 karibia kila mwaka ,ina maanisha bado watu wanasikiliza mziki wake na bado unathamani na ndio maana wanaununua,wanauhitaji na wanausikiliza kila siku,hivyo hivyo kwa akina Michael Jackson,Elvis nk.

Hebu nipe ushahidi wa kinamba tuachane na hizi HISIA PAMOJA NA MAHABA.
 
Hukubaliani nazo ww lakini kuanzia kwenye digital platform zinaongoza kwa mauzo,kwenye redio zinaongozwa kwa kuombwa,zimechukua tuzo kibao na mpaka sasa kwenye online streaming zinaongozwa kwa kusikilizwa.We kutozikubali huzizuii kufanya vizuri lakini ukija upande wa NUMBER zinaongoza katika kila kitu.
Tumia akili yako vizuri. Hpa tulikuwa tunaongelea nyimbo zilizokubalika na kuingizwa kwenye shindano la Afrimma
 
wewe bado sana asee
umekazana kabisa eti music ni mashairi au melody!

muziki ni zaidi ya unavyojua nitafute nikupe darasa bure kabisa.

mfuate hata p funk hapo atakwambia vizuri. nini maana ya muziki..
Nimeuliza swali muziki ni mashairi au melody? Hizo pumba zako kawashie mkaa
 
Hivo vi tatoo ndio vinakufanya ujione ushafika USA sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi na ww tunaishi 3rd world country, so wote ni watupori tuu mfuga vyura

Usijione mjanja saana wakati ni mlugaluga wa akili mpaka mwili.
😏😏😏
 
Vijana msioenda shule mnajua music inacomprise melody and lyrics only, poleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tafakari maana ya music niliyokupa hapo juu.
Hizo tafsiri zako wanafundishwa watoto wa shule za msingi huko hata chuo cha muziki bagamoyo au mlimani hawana tafsiri hiyo.
.
Mimi nafanya muziki wa rap nimekuuliza swali muziki ni Melody au mashairi huna jibu naona
 
Back
Top Bottom