Inakuwaje Rais anapokataa kuishi Dodoma?

Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ?

Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma?

Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ?

Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama muhusika haishi pale?

Magogoni, kizimkazi na Dodoma ni wapi makao makuu ya nchi?
Raisi hapangi mwenyewe pa kulala wala kuishi kama wewe ulivyoamua kuishi kwenu yombo
 
Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ?

Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma?

Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ?

Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama muhusika haishi pale?

Magogoni, kizimkazi na Dodoma ni wapi makao makuu ya nchi?
Hataki kuzoewa
 
Ikitokea hivyo inabidi na wewe utwambie kwa nn unataka akae Dodoma wakati kila mkoa kuna ikulu ndogo? Ila ukiona hujaridhika mshitaki kwa uongozi wa juu yake
 
Mama wanafungua nchi..

1731311981482.png
Mmmh, hapa naona yaani mtu anaangaliwa kwa hisia za upendo sana. NI nani huyu anaangaliwa hivyo, Abdul?
 
Kumbuka utamaduni
Mwendazake aliigeuza Chato kuwa makao makuu ndogo.
Ila huyu kaamua kuishi mjini
Nadhani Ikulu zipo karibu kila mkoa, hivyo ni Raisi anaweza kuishi kokote.

Kuhusu majeshi huyo ndio Amiri jeshi mwenyewe, unadhani nani ataweza kutoa kauli juu yake?
 
Rais wa Tanganyika anapaswa kukaa Ikulu ya Dodoma wakati Rais wa Muungano awe na makazi yake Magogoni Dar es salaam. 🤔
 
Uamuzi wa kuhamia Dom ulikuwa ni wa kufurahishana kwa nje aka unafiki; hamna kiongozi ndani ya roho yake anayetamani kuishi Dom - mji vumbi tupu usipopaka mafuta unapauka hadi midomo na kope - ule ni mji mkuu wa kisiasa.
 
Uamuzi wa kuhamia Dom ulikiwa ni wa kufilurahishana kwa nje aka unafiki; hamna kiongizi ndani ya roho yake anayetamani kuishi Dom vumbi tupu usipopaka mafuta unapauka hadi midomo - ule ni mji mkuu wa kisiasa.
Basi wakutane Bungeni wabadilishe sheria, warudishe makao makuu jijini Daslam...ile ikulu ya chamwino wageuze chuo cha veta au makumbusho ya kanda ya kati....

Nakumbuka Magu aliwahi kusema suala la Dodoma kalimaliza kwa kulitungia sheria, ili huyo atakayekuja asibadilishe mambo kienyeji mpaka kwanza akaondoe sheria ile na kuweka sheria mpya.

Tazama hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=VkXvHS0zO5U
Na hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=6DglJW5HLW8
 
SIRI
Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ?

Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma?

Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ?

Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama muhusika haishi pale?

Magogoni, kizimkazi na Dodoma ni wapi makao makuu ya nch
 
Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ?

Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma?

Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ?

Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama muhusika haishi pale?

Magogoni, kizimkazi na Dodoma ni wapi makao makuu ya nchi?
Ni hakika rais hakai Dodoma wala kufanyia kazi Dodoma. Yuko Dar es Salaam na kufanyia kazi Dar kama vile Dodoma sio makao makuu ya nchi. Bila shaka inaongeza gharama na matumizi sana kwa serikali kwani mawaziri na wakubwa wa vyombo vya nchi wanaotakiwa kwa mujibu wa sheria wawe Dodoma inabidi wakati mwingi wawe Dar kumfuata rais wa jamhuri. Bila shaka wa kwnza kwa kufaidi ni wenye mahoteli. Kwa mwenendo huu hakuna balozi watajenga na kuhamaia D0d0ma maana badala ya wao kuifuata serikali makao makuu Dodoma vigogo kuanzia rais mwenyewe wanawafuata mabalozi Dar.
 
Back
Top Bottom