The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Niliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine..
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Raisi wa jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?.
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Wazanzibar wanatuona wajinga snNimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine..
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Raisi wa jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?.
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Kwa hiyo Rais wa Znz ana mamlaka ya kutoa uraia wa Tanzania ? Hii ni sawa kikatiba?Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Hili ndio lilipaswa kua swali la msingi katika hoja yako na sio ile ya mleta mada "Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania" .Kwa hiyo Rais wa Znz ana mamlaka ya kutoa uraia wa Tanzania ? Hii ni sawa kikatiba?
Yaani unatumia muda mwingi kutoa ufafanuzi wa kijinga Kwa kutoelewa kabisa utaratibu, sawa hata kama ni raia wa Msumbiji, nani alikudanganya kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutoa Urais wa Tanzania? Anatoa Uraia kama nani na wakati sio Rais wa JMT?Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Hilo ndio lilipaswa kua swali na sio kuleta huu upumbavu.Yaani unatumia muda mwingi kutoa ufafanuzi wa kijinga Kwa kutoelewa kabisa utaratibu, sawa hata kama ni raia wa Msumbiji, nani alikudanganya kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutoa Urais wa Tanzania? Anatoa Uraia kama nani na wakati sio Rais wa JMT?
Wewe ndo umekurupuka kujibu. Hoja ya mtoa mada ni kwamba kwakuwa uraia uliotolewa husitolewe na rais wa Jamuhuri?. Rais wa Zanzibar anawezaje kutoa uraia wa Jamuhuri?.Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Ndo anauliza kwanini Rai's Mwinyi ambaye ana hadhi ya Mkuu wa Mkoa ndani ya Jamhuri ya Tanzania awe na mamlaka ya kuwapa raia wa nchi nyingine uraia Wa Tanzania? Anauliza kwamba hayo Mamlaka siyo ya Rai's wa Jamhuri ya Muungani Wa Tanzania?! Mwinyi ameyatoa wapi?Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"Wewe ndo umekurupuka kujibu. Hoja ya mtoa mada ni kwamba kwakuwa uraia uliotolewa husitolewe na rais wa Jamuhuri?. Rais wa Zanzibar anawezaje kutoa uraia wa Jamuhuri?.
Tanganyika watasema wametekwa na ZanzibarNimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine..
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Raisi wa jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?.
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
P, Habari KiongoziNiliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
P, Habari KiongoziNiliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
Umeelewa au unajibu Kwa panic tuu,,,,nan mwenye mamlaka ya kutoa uraia ?Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.