JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Waliopewa uraia wa TZ, wamekuwa wanaishi Zenj tangu zamani kabla ya Uhuru!Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319