Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

Hao ni makomandoo wamepewa uraia ili kuiteka Tanganyika.

Katiba haimruhusu kutoa uraia maana hao tayari ni raia wa Tanzania.

Mungu baba tupe uvumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja kwanza wale walipewa uraia wa Zanzibar au Tanzania? Kwa sababu Raisi wa Zanzibar hana mamlaka ya kumpa mtu uraia wa Tanzania, kama ndicho alicho fanya basi itakua ni dharau kupita kiasi sasa 🤔🤔🤔
Sasa mzee raia wa Zanzibar si ndo raia wa Tanzania?!
 
Back
Top Bottom