JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Waliopewa uraia wa TZ, wamekuwa wanaishi Zenj tangu zamani kabla ya Uhuru!Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
Tunaomba hilo tamko angalao kwa ufupi mkuu.Naibu waziri mkuu katoa tamko tayari
Soma hiyo sehemu iliyo italics haina uhusiano na swali unalouliza.Hakuna anayepinga kutoa uraia, kinachopingwa hayo mamlaka amepata wapi. Tanzania ni muungano wa tanganyika na Zanzibar,yeye kachaguliwa na Zanzibar hivyo Hana hayo mamlaka.
Kama ilivo kigoma au mbeya pole sana wambie basi hao mbeya na kigoma na wao watoe huo uraiaNdo anauliza kwanini Rai's Mwinyi ambaye ana hadhi ya Mkuu wa Mkoa ndani ya Jamhuri ya Tanzania awe na mamlaka ya kuwapa raia wa nchi nyingine uraia Wa Tanzania? Anauliza kwamba hayo Mamlaka siyo ya Rai's wa Jamhuri ya Muungani Wa Tanzania?! Mwinyi ameyatoa wapi?
Kumbuka Zanzibar siyo nchi, ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Kigoma au Mbeya.
Msiringie waarabu, wanyamwezi watakamata jambia tena. Uhuru wapiganie wao, uraia mtoe kwa wakomoro?Kama ilivo kigoma au mbeya pole sana wambie basi hao mbeya na kigoma na wao watoe huo uraia
Wivu tu.Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
Pole sana hiyo ndio ZanzibarMsiringie waarabu, wanyamwezi watakamata jambia tena. Uhuru wapiganie wao, uraia mtoe kwa wakomoro?
Sema mimi kwa ninavyokujua Kaka hata kabla ya kuandika hapa ungetaka kujua ungeshajua na possibly umeshaujua ukweli ila utaki tu kusema Ile kweli kwamba hapo pamevurundwa.Niliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
Wivu gani tena?Wivu tu.
Swala cyo kulalamika Sheria inasemaje?Kwani kuna shida znz wakitoa uraia? Kinachokuuma ni nini! Fanya kazi acha kulalamika
Mapacha wamekutana uongozini!Niliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
Kinachozungumzwa hapa na unachojibu ni vitu 2 tofautiMkiambiwa hamna akili mnalalama....
Kule Kenya 2021 serikali ya Kenya ilitoa uraia kwa "washona" na "wapemba" walioishi humo toka 1959....unashangaa nini kwa serikali ya Zanzibar kuyafanya hayo?!!!
Pathetic [emoji1787]
Katiba ya Zanzibar haizuii rais kutoa uraia....Ndo anauliza kwanini Rai's Mwinyi ambaye ana hadhi ya Mkuu wa Mkoa ndani ya Jamhuri ya Tanzania awe na mamlaka ya kuwapa raia wa nchi nyingine uraia Wa Tanzania? Anauliza kwamba hayo Mamlaka siyo ya Rai's wa Jamhuri ya Muungani Wa Tanzania?! Mwinyi ameyatoa wapi?
Kumbuka Zanzibar siyo nchi, ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Kigoma au Mbeya.
Swala cyo kulalamika Sheria inasemaje?
Katiba ya Zanzibar haizuii rais kutoa uraia.....Kinachozungumzwa hapa na unachojibu ni vitu 2 tofauti