Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 Sep 7, 2023 #81 Hao ni makomandoo wamepewa uraia ili kuiteka Tanganyika. Katiba haimruhusu kutoa uraia maana hao tayari ni raia wa Tanzania. Mungu baba tupe uvumilivu Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni makomandoo wamepewa uraia ili kuiteka Tanganyika. Katiba haimruhusu kutoa uraia maana hao tayari ni raia wa Tanzania. Mungu baba tupe uvumilivu Sent using Jamii Forums mobile app
N Naland JF-Expert Member Joined Dec 8, 2021 Posts 716 Reaction score 1,260 Sep 8, 2023 #82 Papasa said: Ngoja kwanza wale walipewa uraia wa Zanzibar au Tanzania? Kwa sababu Raisi wa Zanzibar hana mamlaka ya kumpa mtu uraia wa Tanzania, kama ndicho alicho fanya basi itakua ni dharau kupita kiasi sasa 🤔🤔🤔 Click to expand... Sasa mzee raia wa Zanzibar si ndo raia wa Tanzania?!
Papasa said: Ngoja kwanza wale walipewa uraia wa Zanzibar au Tanzania? Kwa sababu Raisi wa Zanzibar hana mamlaka ya kumpa mtu uraia wa Tanzania, kama ndicho alicho fanya basi itakua ni dharau kupita kiasi sasa 🤔🤔🤔 Click to expand... Sasa mzee raia wa Zanzibar si ndo raia wa Tanzania?!