Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Umetumwa kuharibu UZI. Tutaenda sambamba mimi na wewe.Leo utaita fire!
Give her a break please ! Uko humu 24/7 kuvizia tu Rais Samia kafanya nini ili ukosoe. Baada ya kuhisi kakaa 2 weeks kwa fedha ya wahisani watanzania, na si kwa fedha ya Serikali kama MLIVYOKUWA MNABWABWAJA, sasa Nyankurungu2020 unataka kujua majina ya wachangaji.Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.
Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.
Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.
Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.
Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.
Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?
Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?
Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Wacha tuambiwe hayo mapesa kayatoa wapi na analipwa nini?Give her a break please ! Uko humu 24/7 kuvizia tu Rais Samia kafanya nini ili ukosoe. Baada ya kuhisi kakaa 2 weeks kwa fedha ya wahisani watanzania, na si kwa fedha ya Serikali kama MLIVYOKUWA MNABWABWAJA, sasa Nyankurungu2020 unataka kujua majina ya wachangaji.
Ulivyo POPOMA ukipewa majina yao utataka kujua majina wa wake zao au waume zao.
Tafuteni shughuli za maana za kuwaingizia hela haya MAUJINGA yamepitwa na wakati baada ya kumfukia mungu wenu pale Chato mwaka jana mwezi Machi
Mbona unajitoa fahamu? Rais anachangiwa na pesa za mifukoni za watu?Give her a break please ! Uko humu 24/7 kuvizia tu Rais Samia kafanya nini ili ukosoe. Baada ya kuhisi kakaa 2 weeks kwa fedha ya wahisani watanzania, na si kwa fedha ya Serikali kama MLIVYOKUWA MNABWABWAJA, sasa Nyankurungu2020 unataka kujua majina ya wachangaji.
Ulivyo POPOMA ukipewa majina yao utataka kujua majina wa wake zao au waume zao.
Tafuteni shughuli za maana za kuwaingizia hela haya MAUJINGA yamepitwa na wakati baada ya kumfukia mungu wenu pale Chato mwaka jana mwezi Machi
Ulitaka achangiwe na nani sasa? Akitumia za Serikali mnasema matumizi mabaya zingetosha kujenga shule? Amepata wafadhili manataka kujuwa majina. STUPIDMbona unajitoa fahamu? Rais anachangiwa na pesa za mifukoni za watu?
Ziara ya kiserikali nani angehoji? Au alienda kwa ziara binafsi?Ulitaka achangiwe na nani sasa? Akitumia za Serikali mnasema matumizi mabaya zingetosha kujenga shule? Amepata wafadhili manataka kujuwa majina. STUPID
Ikulu ni mahali patakatifu,Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.
Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.
Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.
Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.
Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.
Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?
Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?
Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Ana haki ya kuhoji, huyo ni raisi na sio mama wa familia.Give her a break please ! Uko humu 24/7 kuvizia tu Rais Samia kafanya nini ili ukosoe. Baada ya kuhisi kakaa 2 weeks kwa fedha ya wahisani watanzania, na si kwa fedha ya Serikali kama MLIVYOKUWA MNABWABWAJA, sasa Nyankurungu2020 unataka kujua majina ya wachangaji.
Ulivyo POPOMA ukipewa majina yao utataka kujua majina wa wake zao au waume zao.
Tafuteni shughuli za maana za kuwaingizia hela haya MAUJINGA yamepitwa na wakati baada ya kumfukia mungu wenu pale Chato mwaka jana mwezi Machi
Ulichanga wakati wito wa uchangiaji umewekwa wazi?Wacha tuambiwe hayo mapesa kayatoa wapi na analipwa nini?
Au kapewa na makundi ya wahuni walio nyuma ya Urais wake!
Au madalali wa machanjo ya ajabu ajabu!
Lazima tujue hii! Hatutaki Marais vibaraka wa wahuni.
Ni Sawa ila angalau fuatilia basi hata kama palikuwa na mchakato wa uchangiaji, mfumo wa uchangiaji ulikuwaje, palikuwa na account maalum au la kabla hujataka kuwafahamu waliochanga.Unaamini huo ujinga, kama ni hivyo tunataka mwishoni mwa hii filamu wawataje hayo majina ya walio changia.
Vinginevyo wakubali tu tumerudi enzi za upigaji