So wana kashfa ya ulevi?walitoroka kambini na kurudi asubuhi,kwa madai ya Yanga Abundo na Saido hawatacheza mechi ya watani.
sasa Mayele ana madhara gani.Ajamalizana na nyie bado
Wanapunguza ukali wa maneno,ila kashfa ndio hiyowamesema utovu wa nidhamu.
Mkuu unachotafuta ni uchochezi. Katika hali ya kawaida, unaweza ukamfungia Mayele na Bangala huku tukielekea kwenye derby? Hata kama nao walitoroka, hao akina Ambundo watawakilisha wengine katika kutumikia adhabuWalikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili.
anapiga shot on targetsasa Mayele ana madhara gani.
mashabiki wangesema viongozi wanatumikaMkuu unachotafuta ni uchochezi. Katika hali ya kawaida, unaweza ukamfungia Mayele na Bangala huku tukielekea kwenye derby? Hata kama nao walitoroka, hao akina ambundo watawakilisha wengine katika kutumikia adhabu
Sasa uweledi wao uko wapi? Hawaoni wanatengeneza matabaka ktk team? Kamati ya nidhamu ya team ijitafakari. Ndo kunakoleta chuki na visa baina ya wachezaji mambo km haya.Mkuu unachotafuta ni uchochezi. Katika hali ya kawaida, unaweza ukamfungia Mayele na Bangala huku tukielekea kwenye derby? Hata kama nao walitoroka, hao akina ambundo watawakilisha wengine katika kutumikia adhabu
Shinyanga hakuna Bar inayoitwa "Level"Walikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili.
nilikuwa nao bar
Acha makasirikoWe ndio barmaid uliyewahudumia?