Inakuwaje Saido na Abundo waadhibiwe wakati walikuwa wanne?

Inakuwaje Saido na Abundo waadhibiwe wakati walikuwa wanne?

Walikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili.
Mkuu unachotafuta ni uchochezi. Katika hali ya kawaida, unaweza ukamfungia Mayele na Bangala huku tukielekea kwenye derby? Hata kama nao walitoroka, hao akina Ambundo watawakilisha wengine katika kutumikia adhabu
 
Mkuu unachotafuta ni uchochezi. Katika hali ya kawaida, unaweza ukamfungia Mayele na Bangala huku tukielekea kwenye derby? Hata kama nao walitoroka, hao akina ambundo watawakilisha wengine katika kutumikia adhabu
mashabiki wangesema viongozi wanatumika
 
Mkuu unachotafuta ni uchochezi. Katika hali ya kawaida, unaweza ukamfungia Mayele na Bangala huku tukielekea kwenye derby? Hata kama nao walitoroka, hao akina ambundo watawakilisha wengine katika kutumikia adhabu
Sasa uweledi wao uko wapi? Hawaoni wanatengeneza matabaka ktk team? Kamati ya nidhamu ya team ijitafakari. Ndo kunakoleta chuki na visa baina ya wachezaji mambo km haya.

Adhabu wangepewa wote, na km msamaha wangepewa wote.
Vinginevyo ni mind games tyuuh.
 
Walikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili.
Shinyanga hakuna Bar inayoitwa "Level"
 
Back
Top Bottom