Toedsloth_
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 369
- 1,085
Hiyo timu inamashabiki wa ajabuajabu tu.Sijui ilikuwaje wakaumbwa huku akili zao wote zinafananaNimekumbuka kuna kijana mmoja alisema achukuliwe na Mayele akafanywe yake.. Kuna watu wajinga kupita kiasi yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtu jaman, khaaahKwasababu hata huko walikokuwa Wakitomba huko Baa wale Malaya wamesema Mayele na Bangala ni Mafundi Vitandani kama walivyo Uwanjani, ila Saido na Ambundo hawana jipya Kazi kurukaruka tu Vitandani, Kujamba hovyo na Kupiga sana Miayo.
Pilipili usiyoila yakuwashia nini eeh?Sasa uweledi wao uko wapi? Hawaoni wanatengeneza matabaka ktk team? Kamati ya nidhamu ya team ijitafakari. Ndo kunakoleta chuki na visa baina ya wachezaji mambo km haya.
Adhabu wangepewa wote, na km msamaha wangepewa wote.
Vinginevyo ni mind games tyuuh.
simba hatumtaki huyo mpaka karikiti kichwaniMpira wa Bongo bana anyway tumeshajua
Morrison -----------Yanga.
Saido Ntibazonkiza--------Simba
Ulikuwepo?hebu acha uongoWalikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili.
Yanitoa machozi kwa harufu yake. [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Pilipili usiyoila yakuwashia nini eeh?
Mind games tyuuh.Kwani Mwenyewe Anasemaje?View attachment 2240075
wamesema utovu wa nidhamu.
Na Ambondu?.Mpira wa Bongo bana anyway tumeshajua
Morrison -----------Yanga.
Saido Ntibazonkiza--------Simba
Yeye aliwahi kurudi ila hao vichwa ngumu ndio walinogewa wakakesha.Nimeshangaa wakati Mayele tulikuwa naye Level na bendi ilikuwa inamuimba
Mind game ya nyokwe🤣🤣🤣Hakuna kitu kama hicho yanga wanacheza mind game.
Tusubiri Kesho Tuone.Mind games tyuuh.
Umuamini..! ni Mume wako?Saido swala tano kabisa yule kumbe anatandika mtungi, kweli binadamu sio wa kumuamini kabisa