Inakuwaje Saido na Abundo waadhibiwe wakati walikuwa wanne?

Inakuwaje Saido na Abundo waadhibiwe wakati walikuwa wanne?

Saido anajitambua yule aligoma kulala Idukilo kwa Mganga wa kienyeji
 
Nimekumbuka kuna kijana mmoja alisema achukuliwe na Mayele akafanywe yake.. Kuna watu wajinga kupita kiasi yaani.
Hiyo timu inamashabiki wa ajabuajabu tu.Sijui ilikuwaje wakaumbwa huku akili zao wote zinafanana
 
Kwasababu hata huko walikokuwa Wakitomba huko Baa wale Malaya wamesema Mayele na Bangala ni Mafundi Vitandani kama walivyo Uwanjani, ila Saido na Ambundo hawana jipya Kazi kurukaruka tu Vitandani, Kujamba hovyo na Kupiga sana Miayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtu jaman, khaaah
 
Makolo wanatamani kusikia mayele kafungiwa

Mwambieni tu yule mkojani ajiandae
 
Sasa uweledi wao uko wapi? Hawaoni wanatengeneza matabaka ktk team? Kamati ya nidhamu ya team ijitafakari. Ndo kunakoleta chuki na visa baina ya wachezaji mambo km haya.

Adhabu wangepewa wote, na km msamaha wangepewa wote.
Vinginevyo ni mind games tyuuh.
Pilipili usiyoila yakuwashia nini eeh?
 
Kwani Mwenyewe Anasemaje?
Screenshot_20220527-002604~2.jpg
 
Saido swala tano kabisa yule kumbe anatandika mtungi, kweli binadamu sio wa kumuamini kabisa
 
Back
Top Bottom