Inakuwaje salio la akaunti ya benki linaonekana lakini ukitaka kuchukua pesa unaambiwa salio halitoshi?

Inakuwaje salio la akaunti ya benki linaonekana lakini ukitaka kuchukua pesa unaambiwa salio halitoshi?

wakikosi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,354
Reaction score
1,490
Waungwana,

Ninapitia changamoto kwa masaa kadhaa sasa, kuna hela imewekwa kwenye akaunti yangu leo asubuhi, lakini nitaka nitoe kiasi kwa ajiri ya matumizi yangu, ATM inaniambia SALIO HALITOSHI.

Sasa cha kushangaza ukiangalia salio unaona fedha ipo nyingi sana, lakini kutoka haitoki.

Waungwana hapo shida ni nini?
 
Hii kitu nmekutana nayo last week crdb pesa ipo lkn kwenye ATM inasema insufficient funds
 
Ingia ofisini kujua tatizo. Kuna wakati pesa inashikiliwa kwa muda kwa sababu maalum.

Kama hakuna hilo waeleze na utachukua mzigo wako.
 
Imewekwa milioni 10,mimi nataka kama laki 2 tu ili nisukume wiki yangu
Kama ni mkopo subiri Ila kama siyo mkopo nenda ndani umuone branch manager ndani ya Dakika Kumi unatoa pesa
 
Sema ukweli umewekewa mkopo na CRDB.. Mpaka wakate makato yao ikiwemo processing fee ya mkopo ndipo iachiwe..
Sio mkopo,pesa toka akaunti ya mahakama/hazina
 
Siku nzima mtandao unasumbua,mbona ni hatari sana

Nafikiri kuna shida nyingine na sio mtandao
 
Back
Top Bottom