balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Inaonekana bado wanataka kujiridhisha kama nipesa halali na zimepatikana kwa njia halali.Usiogope chifu,ila umepiga mpunga mrefu jamaakivipi unasema ivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana bado wanataka kujiridhisha kama nipesa halali na zimepatikana kwa njia halali.Usiogope chifu,ila umepiga mpunga mrefu jamaakivipi unasema ivyo
Pesa imezuiwa kupisha uchunguzi. Nenda kaitolee maelezo ( Hutokea kama hujawahi kuwa na transaction kubwa kiasi hicho)Siku nzima mtandao unasumbua,mbona ni hatari sana
Nafikiri kuna shida nyingine na sio mtandao