Kama Una tatizo la uharaka ,nenda ndani umuone branch manager .ndani ya Dakika Kumi utatoa pesa zakoIpo kwenye uchunguzi
Wataniua njaa hawa jamaa,maana nina njaa hapa na pesa ipo Bank lakini siwezi kuitumia.
Hatimae ni nini sasa wataiachia au nifanyeje? Maana life ni gumu yaanu
Fuata ushauri huuKama Una tatizo la uharaka ,nenda ndani umuone branch manager .ndani ya Dakika Kumi utatoa pesa zako
Sawa. Ingia ndani ukatoe.Imewekwa milioni 10,mimi nataka kama laki 2 tu ili nisukume wiki yangu
[emoji16][emoji16] AlfredImewekwa milioni 10,mimi nataka kama laki 2 tu ili nisukume wiki yangu
Ukifanikiwa naomba hata li ten mkuu.Asante sana
Kama ni mkopo subiri Ila kama siyo mkopo nenda ndani umuone branch manager ndani ya Dakika Kumi unatoa pesaImewekwa milioni 10,mimi nataka kama laki 2 tu ili nisukume wiki yangu
Utakatishaji na uhujumu uchumi tayariImewekwa milioni 10,mimi nataka kama laki 2 tu ili nisukume wiki yangu
kivipi unasema ivyoUtakatishaji na uhujumu uchumi tayari