balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Nov 3, 2021 #21 Hajto said: kivipi unasema ivyo Click to expand... Inaonekana bado wanataka kujiridhisha kama nipesa halali na zimepatikana kwa njia halali.Usiogope chifu,ila umepiga mpunga mrefu jamaa
Hajto said: kivipi unasema ivyo Click to expand... Inaonekana bado wanataka kujiridhisha kama nipesa halali na zimepatikana kwa njia halali.Usiogope chifu,ila umepiga mpunga mrefu jamaa
free lander JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 307 Reaction score 288 Nov 3, 2021 #22 wakikosi said: Siku nzima mtandao unasumbua,mbona ni hatari sana Nafikiri kuna shida nyingine na sio mtandao Click to expand... Pesa imezuiwa kupisha uchunguzi. Nenda kaitolee maelezo ( Hutokea kama hujawahi kuwa na transaction kubwa kiasi hicho) Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
wakikosi said: Siku nzima mtandao unasumbua,mbona ni hatari sana Nafikiri kuna shida nyingine na sio mtandao Click to expand... Pesa imezuiwa kupisha uchunguzi. Nenda kaitolee maelezo ( Hutokea kama hujawahi kuwa na transaction kubwa kiasi hicho) Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Nov 3, 2021 #23 Kama ni NMB na unatumia card ya chapchap ibadilishe hiyo Kuna kiwango Cha pesa kikifika unakua huwez kutoa hela had ukabadilisha card nafikiri kipindi Cha nyuma ilikua 5M accnt ikifikisha tu hiyo hela card ya chapchap haitoi had upewe Mastercard
Kama ni NMB na unatumia card ya chapchap ibadilishe hiyo Kuna kiwango Cha pesa kikifika unakua huwez kutoa hela had ukabadilisha card nafikiri kipindi Cha nyuma ilikua 5M accnt ikifikisha tu hiyo hela card ya chapchap haitoi had upewe Mastercard