Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Chadomo wasipewe nchi....sera yao ya majimbo ni ya HOVYO kupitiliza....haifai haifai haifai hapa Tanzania.....Kenya 60% ya makusanyo ni kulipa mishahara ya watumishi hii ni baada ya kutengeneza likatiba la hovyo sana la kuruhusu majimbo , wameanza harakati za kupunguza (PUNGUZA MZIGO) ikiwa ni kutaka kubadili baadhi ya ubara,hapa bongo CHADOMO ndio bado wanalilia kiserikali ya majimbo ambayo ni ya hivyo sana
USSR
#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT[emoji120]