Inakuwaje serikali inakosa mishahara ya wafanyakazi wake mfano Kenya?

Chadomo wasipewe nchi....sera yao ya majimbo ni ya HOVYO kupitiliza....haifai haifai haifai hapa Tanzania.....

#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT[emoji120]
 
Niliwashangaa Wakenya walipomchagua Ruto kwa mihemko. Anyway inawezekana si yeye aliyesababisha hii hali, ila jamaa ni failure vibaya na huko mbeleni itabidi kuwa dhahiri.
Unaetaka kumtuhumu alikuta mishahara inaliowa mpaka tarehe "35" ilifika kipindi kipindi mpaka tukope ndipo mishahara ilipwe, ila yeye akaja akaweka tarehe 24 watumishi wapate chao! Huko mbele sijui labda uanze kuwa tambitambi
 
Watu wengi wanafikiria kuongoza nchi ni jambo rahisi sana, kwamba mahela yapo tu. Ndio wanavyoona Chadema. Wanapiga kelele sijui barabara ya kwenda wapi, maji, sijui miradi ya SGR ......kalia kile kiti uone bill ya Kila mwezi ya kuendesha nchi, ambayo ni lazima uilipe, sio hiyari. Bill ya miradi inaweza kuwa hiyari. Lakini mshahara wa watumishi sio hiyari ya mwajiri. Pia ukishindwa kuilipa, heshima ya serikali inashuka ndani na nje ya nchi
 
Niliwashangaa Wakenya walipomchagua Ruto kwa mihemko. Anyway inawezekana si yeye aliyesababisha hii hali, ila jamaa ni failure vibaya na huko mbeleni itabidi kuwa dhahiri.
Kabisa, na wanatumia muda mwingi kupigizana kelele na Raila, bado miezi michache watimize mwaka madarakani.
Na pia ana mzigo wa watu wa kulipa fadhila, anateua Kila siku.

Makamu Rais wake ndio hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…