Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa la 'fundi maiko' mmoja huko Mbinga ndio lifanye chuo kizima kichekeshe?!
Na mbma "chuo kizima" hakijatambua ana kuchukua hatua ?! Ukimya unamaanisha kukubaliana na "fundi Maiko"Kosa la 'fundi maiko' mmoja huko Mbinga ndio lifanye chuo kizima kichekeshe?!
Subirini nicheke kwanza ndipo nirudi kukoment🤣
Mpaka kimesimikwa na kustawi hapo kwa muda mrefu hivyo ni ishara TBS ya chuo imeridhikaKosa la 'fundi maiko' mmoja huko Mbinga ndio lifanye chuo kizima kichekeshe?!
Kwanini wasiliondoe maana linazalilisha chuo kizimaKosa la 'fundi maiko' mmoja huko Mbinga ndio lifanye chuo kizima kichekeshe?!
Wewe je haudhalilishi kiswahili ?linazalilisha
Huyu aliyelileta huku ndio kawadhalilisha bora angeling'oa maana maprof wanapita hapo miaka nenda rudiKwanini wasiliondoe maana linazalilisha chuo kizima
Lipo mbinga sehemu ganiHilo bango nalifahamu lipo Mbinga,hiyo nyumba huwa wanafikia wanafunzi wa SUA.Mwanzo liliandikwa vizuri tu,niliona Mara ya mwisho 2018 nafikiri walilichora tena mchoraji/mwandishi ndiye aliyekosea.SUA fanyeni haraka marekebisho.
Mheshimiwa; hilo kosa ni Curable.
HahahaWabongo hatupo serious hapo watakujibu simple tu kuwa si umeelewa lakini?
Uliza sasa bajeti ya hilo bango.
Wakulaumiwa ni Jiwe kwasabab hilo bango liliandikwa awam ya 5
Wewe naye ndio wale wale!!! “wewe je haudhalilishi kiswahili” ndio umeandika nini? Ulitakiwa uweke alama ya mkato mbele ya neno je, ZINGATIA ALAMA ZA UANDISHI mbwai mbwai ahaaaaaaaaaWewe je haudhalilishi kiswahili ?
Hilo neno wala sio typing error.
Nyani haoni kundule.