Inakuwaje SUA waruhusu bango lenye makosa

Hilo bango nalifahamu lipo Mbinga,hiyo nyumba huwa wanafikia wanafunzi wa SUA.Mwanzo liliandikwa vizuri tu,niliona Mara ya mwisho 2018 nafikiri walilichora tena mchoraji/mwandishi ndiye aliyekosea.SUA fanyeni haraka marekebisho.
 
Lipo mbinga sehemu gani
 
Wewe je haudhalilishi kiswahili ?
Hilo neno wala sio typing error.
Nyani haoni kundule.
Wewe naye ndio wale wale!!! “wewe je haudhalilishi kiswahili” ndio umeandika nini? Ulitakiwa uweke alama ya mkato mbele ya neno je, ZINGATIA ALAMA ZA UANDISHI mbwai mbwai ahaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…