Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?

Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu.

Fikiria kikosi kibovu cha arsenal inakuwa juu ya msimamo! Msimu huu nimeangalia me his tano za arsenal nikapata majibu kuwa Arsenal hawezi kufuzu hata Uefa.

Mdau moja ameniambia Arsenal inaongoza ligi kwasababu ya break ya Kombe la Dunia lkn bado sijaridhika.

Arsenal ina wachezaji watatu tu wazuri saka, martinel na potter wengine wote vimeo.

Timu zitakazofuzu uefa msimu huu;
~ Manchester united
~ Manchester city
~ Newcastle united
~ Liverpool

Mpaka January inaisha naamini gape la point nane litakuwa limebaki zero.

Poor arsenal!
 
Mimi nilidhani ungemaliza andiko lako kwa kutaka majibu ya swali lako. Lkn cha kushangaa umehitimisha mwenyewe. Nashauri JF iangalie uwezekano wa kukagua CV wakati members wanajisajili ili kuepusha uandishi duni kama huu
 
Atakuwa anaangalia EPL ya miaka ya nyuma.......
 
Umeanza kuifuatilia au kuijua EPL mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…