Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
huna lolote wewe unataka mashabiki wa Arsenal tuchafukwe tu na uzi wako huu.
Kuongoza ligi bora Duniani EPL sio lelemama.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilidhani ungemaliza andiko lako kwa kutaka majibu ya swali lako. Lkn cha kushangaa umehitimisha mwenyewe. Nashauri JF iangalie uwezekano wa kukagua CV wakati members wanajisajili ili kuepusha uandishi duni kama huu
tena ameanza kufatilia mpira juzijuziArsenal ni timu kubwa . Utakuwa wewe ni mpumbavu
Kumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?
Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu.
Fikiria kikosi kibovu cha arsenal inakuwa juu ya msimamo! Msimu huu nimeangalia me his tano za arsenal nikapata majibu kuwa Arsenal hawezi kufuzu hata Uefa.
Mdau moja ameniambia Arsenal inaongoza ligi kwasababu ya break ya Kombe la Dunia lkn bado sijaridhika.
Arsenal ina wachezaji watatu tu wazuri saka, martinel na potter wengine wote vimeo.
Timu zitakazofuzu uefa msimu huu;
~ Manchester united
~ Manchester city
~ Newcastle united
~ Liverpool
Mpaka January inaisha naamini gape la point nane litakuwa limebaki zero.
Poor arsenal!
Wa Arsenal, huwa mna matusi kweli!Unajichokonoa alafu unanusa mwenyewe
Mimi hata sina ushabiki wa mpira ila nimesema ninachokiona tuWa Arsenal, huwa mna matusi kweli!
---
Kwa mwaka huu, Arsenal wapo vizuri sana! Na uongozi wao, haujaanza baada ya kombe la Dunia!
MCHAWI MCHUKIE, LAKINI SIFA ZAKE MPE!!! !
Kumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?
Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu.
Fikiria kikosi kibovu cha arsenal inakuwa juu ya msimamo! Msimu huu nimeangalia me his tano za arsenal nikapata majibu kuwa Arsenal hawezi kufuzu hata Uefa.
Mdau moja ameniambia Arsenal inaongoza ligi kwasababu ya break ya Kombe la Dunia lkn bado sijaridhika.
Arsenal ina wachezaji watatu tu wazuri saka, martinel na potter wengine wote vimeo.
Timu zitakazofuzu uefa msimu huu;
~ Manchester united
~ Manchester city
~ Newcastle united
~ Liverpool
Mpaka January inaisha naamini gape la point nane litakuwa limebaki zero.
Poor arsenal!
Leta timu yako ikandweKumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?

Arsenal itaongoza ligi mpaka mwisho. Asiyetaka afehuna lolote wewe unataka mashabiki wa Arsenal tuchafukwe tu na uzi wako huu.
Kuongoza ligi bora Duniani EPL sio lelemama.
Huwa inatokea mara moja mojaKumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?