uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
- #61
Kwahiyo arsenal atachukua ubingwa [emoji16]
Muda gani sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda gani sasa
Tuwe na subiraKwahiyo arsenal atachukua ubingwa [emoji16]
Aibu gani hiyo.. ya kukugongea mke wako au?Sijakariri ila arsenal ina timu ya wavulana itakuwa aibu akichukua ubingwa
Hapana utachukua wewe nyumbugilaKwahiyo arsenal atachukua ubingwa [emoji16]
We jamaa kichwa chako kimejaa funza, ovyo kabisa.. Kwahiyo unakaa kabisa unawaza Arteta ka copy kwa Pep.Sehemu yyt ukiona kila mtu anaweza mfunga mwingine jua haya yapo.
1.hela imekua nyingi sn epl kuliko ligi yyt duniani,kila team inampunga wakutosha.
2.mishahara mikubwa hivyo nyota wengi wanakimbilia huko,competitiveleague
3.makocha bora wapo,ukiangalia kwa umakini arsenal wamekopy man citywanavyocheza na mfumo umekaa ndio mana wakikutana magoli yanakua machache.
4.liver +city wamefikia peak hivyo wengine wanaibuka kitu ambacho nikawaida kwa epl hakuna monopoly km hapa tz or Spain
Punguza hasira kwa kufungwa na Everton itakua mpk mkeka ulichanikaWe jamaa kichwa chako kimejaa funza, ovyo kabisa.. Kwahiyo unakaa kabisa unawaza Arteta ka copy kwa Pep.
Haya ka copy, mbona huyo Pep aliekopiwa hayupo juu?
Mkashtaki basi, si mnaona sisi tunapata raha ko copy. Nendeni na nyie mkakopi. Si yule pale Ten Hag alifanya kazi na Pep mbona kashindwa kum copy, kazi kukaa nyuma akitegemea ushindi wa counter.
Arsenal wakichukua ubingwa kuna watu duniani watajinyonga.
Kunywa robot nakuja lipaWana asenali tujuane🤣